Rais kwanini anahangaika na Matumizi Mabaya ya fedha kualika Vyama visivyo na Wawakilishi ( Vyama Feki)?

Rais ni Taasisi yenye Watu Makini, Waliobobea/ Weredi katika Fani zao mbalimbali, nachelea kuelewa kwanini katika zamani hizi bado anakumbatia Mawazo ya kutumia Mavyamq Feki kufanikisha ajenda yoyote ya kitaifa!

Tuna watu Waliobobea katika utafiti, Intelligence.kwanini muendelee kulipa taifa gharama za kuwalisha hao mavyama feki wakati tafiti zinaonyesha wanawakilisha matumbo yao sio wananchi,kama mna wapenda hao mavyama kuna haja gani kutupa taarifa zao sisi tusiowakilishwa na hao wasaka tonge.

Katika hili Rais hahitaji ashauriwe hata yeye Mwenyewe afanye assessment ya manufaa aliyoyapata kwa kuwatumia hao wezi wa raslimali za nchi, hawatuwakilishi,Waache wafe natural death badala ya kunywa juice zetu za ikulu na kupiga picha ikulu.

Siku hizi utandawazi ni vigumu kuwahadaa watu. Raisi Wasikilize wasiokupenda,achana na hao Machawa.bado nafasi ipo ya kumaliza Vizuri.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Hii ni kudhihirisha aliye kabidhiwa bucha sio, maana hata hili bunge la sasa sio , maana hakuna na uchàguzi bali kulikuwa na úchafuzi
 
Rais ni Taasisi yenye Watu Makini, Waliobobea/ Weredi katika Fani zao mbalimbali, nachelea kuelewa kwanini katika zamani hizi bado anakumbatia Mawazo ya kutumia Mavyamq Feki kufanikisha ajenda yoyote ya kitaifa!

Tuna watu Waliobobea katika utafiti, Intelligence.kwanini muendelee kulipa taifa gharama za kuwalisha hao mavyama feki wakati tafiti zinaonyesha wanawakilisha matumbo yao sio wananchi,kama mna wapenda hao mavyama kuna haja gani kutupa taarifa zao sisi tusiowakilishwa na hao wasaka tonge.

Katika hili Rais hahitaji ashauriwe hata yeye Mwenyewe afanye assessment ya manufaa aliyoyapata kwa kuwatumia hao wezi wa raslimali za nchi, hawatuwakilishi,Waache wafe natural death badala ya kunywa juice zetu za ikulu na kupiga picha ikulu.

Siku hizi utandawazi ni vigumu kuwahadaa watu. Raisi Wasikilize wasiokupenda,achana na hao Machawa.bado nafasi ipo ya kumaliza Vizuri.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Unajengaje imani yako na 'taasisi ya urais' leo, wakati taasidi hiyo ndiyo iliyoshauri waandaliwe askari wauaji tokea mbali na nje ya mipaka ya Tanganyika waje kuua bila huruma mtu yeyote atakayekwenda kinyume na matokeo ya wizi wa kura na matokeo ya Oct 29?

Kungelikuwa na watu weredi pale, wangelimshauri Rais kwa hekima ambapo maovu yote haya yanayotokea yasingetokea.

Na kama yangelitokea kwa bahati mbaya, basi yangelikomeshwa na yasingejirudia kama ilivyo sasa mauaji, utekaji na kubambikiwa kesi vinaendelezwa!

Kazungukwa na washauri vibaka na hana uwezo wa kuwabadilisha ama anafurahia ushauri potoshi wanaompatia.
 
Rais ni Taasisi yenye Watu Makini, Waliobobea/ Weredi katika Fani zao mbalimbali, nachelea kuelewa kwanini katika zamani hizi bado anakumbatia Mawazo ya kutumia Mavyamq Feki kufanikisha ajenda yoyote ya kitaifa!

Tuna watu Waliobobea katika utafiti, Intelligence.kwanini muendelee kulipa taifa gharama za kuwalisha hao mavyama feki wakati tafiti zinaonyesha wanawakilisha matumbo yao sio wananchi,kama mna wapenda hao mavyama kuna haja gani kutupa taarifa zao sisi tusiowakilishwa na hao wasaka tonge.

Katika hili Rais hahitaji ashauriwe hata yeye Mwenyewe afanye assessment ya manufaa aliyoyapata kwa kuwatumia hao wezi wa raslimali za nchi, hawatuwakilishi,Waache wafe natural death badala ya kunywa juice zetu za ikulu na kupiga picha ikulu.

Siku hizi utandawazi ni vigumu kuwahadaa watu. Raisi Wasikilize wasiokupenda,achana na hao Machawa.bado nafasi ipo ya kumaliza Vizuri.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Hata uwe na akili nyingi kiasi gani ukipewa kazi ya kupindisha HAKI lazima utaonekana kilaza tu
 
ni muhimu zaidi kuzingatia ukweli mtupu kwenye maelezo yangu yangu muhimu sana, kuliko kujifedhehesha jukwaani huku ukijiexpose kwamba wew ni mdau mkongwe wa jf.

na ikiwa ni hivyo,
usiwaaibishe basi wa kongwe wenzako wa heshma kwa nyuzi useless kiasi hicho na itapendeza zaidi.
I'm sorry for saying that light truth 🐒
Naona umemaliza na ka english kidogo! umejaribu sio mbaya sema kana makosa kibao😷😷
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU
Sasa hilo la kwanza la siku 30 nadhani ndilo lililowafanya Majaji wa mahakama ya rufani wakurupuke usingizini na kuitisha kesi ya mapingamizi ya Dpp dhidi ya Lissu waliyokuwa wameikalia!

Tujiuluze, maamuzi mepesi waliyoyafanya kwa kesi kubwa yenye maslahi ya umma kama hii, wamewezaje kuthubutu kukaa nayo miezi kibao namna hiyo bila kuyafikia?

Jumuiya ya madola wanaweza kuwa ni muarobani.
 
Rais ni Taasisi yenye Watu Makini, Waliobobea/ Weredi katika Fani zao mbalimbali, nachelea kuelewa kwanini katika zamani hizi bado anakumbatia Mawazo ya kutumia Mavyamq Feki kufanikisha ajenda yoyote ya kitaifa!

Tuna watu Waliobobea katika utafiti, Intelligence.kwanini muendelee kulipa taifa gharama za kuwalisha hao mavyama feki wakati tafiti zinaonyesha wanawakilisha matumbo yao sio wananchi,kama mna wapenda hao mavyama kuna haja gani kutupa taarifa zao sisi tusiowakilishwa na hao wasaka tonge.

Katika hili Rais hahitaji ashauriwe hata yeye Mwenyewe afanye assessment ya manufaa aliyoyapata kwa kuwatumia hao wezi wa raslimali za nchi, hawatuwakilishi,Waache wafe natural death badala ya kunywa juice zetu za ikulu na kupiga picha ikulu.

Siku hizi utandawazi ni vigumu kuwahadaa watu. Raisi Wasikilize wasiokupenda,achana na hao Machawa.bado nafasi ipo ya kumaliza Vizuri.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Hivyo vyama feki ndiyo vimemsaidia kuhalalisha ushenzi wanaoita uchaguzi mkuu, laiti vyama vyote vingegoma kushiriki ushenzi ule wa 29.10.2025 maelfu ya Watanganyika waliouwawa na Samia wangekuwa hai leo hii na mageuzi ya sheria na kanuni za uchaguzi yangefanyika, hao ni watu muhimu sana kwake na utawalawake haramu.
 
Tanzanai hatuna Rais
Tunaongozwa na Mvaa shungi.
Mimi sio Rais wangu.
 
Rais ni Taasisi yenye Watu Makini, Waliobobea/ Weredi katika Fani zao mbalimbali, nachelea kuelewa kwanini katika zamani hizi bado anakumbatia Mawazo ya kutumia Mavyamq Feki kufanikisha ajenda yoyote ya kitaifa!

Tuna watu Waliobobea katika utafiti, Intelligence.kwanini muendelee kulipa taifa gharama za kuwalisha hao mavyama feki wakati tafiti zinaonyesha wanawakilisha matumbo yao sio wananchi,kama mna wapenda hao mavyama kuna haja gani kutupa taarifa zao sisi tusiowakilishwa na hao wasaka tonge.

Katika hili Rais hahitaji ashauriwe hata yeye Mwenyewe afanye assessment ya manufaa aliyoyapata kwa kuwatumia hao wezi wa raslimali za nchi, hawatuwakilishi,Waache wafe natural death badala ya kunywa juice zetu za ikulu na kupiga picha ikulu.

Siku hizi utandawazi ni vigumu kuwahadaa watu. Raisi Wasikilize wasiokupenda,achana na hao Machawa.bado nafasi ipo ya kumaliza Vizuri.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Chadema ndio haikutakiwa kushiriki kwasababu haina uwakilishi wa watu.
 
Back
Top Bottom