herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,143
- 4,724
Kivipi mkuuWatu wa Protocal wamechemka sana kumvalisha Amiri jeshi Mkuu jezi yenye matangazo ya Sport pesa
Hili si kosa dogo hata kwenye mizania ya kibiashara kwa washindan wa Sportpesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, Simba walikuwa wanasherehekea siku yao akili ikawa kwa sherehe wakashindwa kufunga.Tungo tata.
Inamaana ndala fc ni wanawake??
Rais kitu gani wewe. Acha naye avae bango kama yeye alivyowavalisha mabango yenye sura yake kwenye kampeni za 2015.Kifua cha Rais hakipaswi kufanywa bango la matangazo ya kamari au biashara ya aina yoyote, Rais hana kosa ila waliomvalisha wamechemka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapokuwepo uwanjani, marefa wanaogopa kupindisha Sheria za Soka sababu ya kuogopa kutumbuliwa, ndio maana waamuzi wanachezesha mechi vizuri kwa kufuata Sheria za Soka.
Angekua anaingia mechi za Simba, nadhani timu ingekua inapambana kutokushuka daraja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeona zile faulo alizokua akifanyiwa Morison waamuzi walikua wanapeta, zingefanywa na mchezaji wa upande mwingine wangekua wameshalimwa kadi nyekunduRefa jana maamuzi mengi kawabeba Yanga. Sijui alijua ni timu ya chama.