Rais Magufui, nakuomba kwa heahima na taadhima siku nyingine Simba ikicheza tazama hiyo mechi ikulu

Rais Magufui, nakuomba kwa heahima na taadhima siku nyingine Simba ikicheza tazama hiyo mechi ikulu

Anapokuwepo uwanjani, marefa wanaogopa kupindisha Sheria za Soka sababu ya kuogopa kutumbuliwa, ndio maana waamuzi wanachezesha mechi vizuri kwa kufuata Sheria za Soka.

Angekua anaingia mechi za Simba, nadhani timu ingekua inapambana kutokushuka daraja!

Sent using Jamii Forums mobile app

Refa jana maamuzi mengi kawabeba Yanga. Sijui alijua ni timu ya chama.
 
Refa jana maamuzi mengi kawabeba Yanga. Sijui alijua ni timu ya chama.
Tumeona zile faulo alizokua akifanyiwa Morison waamuzi walikua wanapeta, zingefanywa na mchezaji wa upande mwingine wangekua wameshalimwa kadi nyekundu
 
Back
Top Bottom