Rais Magufuli aamrisha wananchi kwenda kujisaidia nyumbani kwa mkurugenzi na DC Kibiti

Rais Magufuli aamrisha wananchi kwenda kujisaidia nyumbani kwa mkurugenzi na DC Kibiti

Poor kind of leadership, tatizo wateuliwa wenyewe ni ma-n.g.u.r.u.w.e. ya lumumba. Kutwa kucha yapo humu jf kupamba, kusifu na kutukuza tu, utekelezaji zero. Huyu anatakiwa KUPUMZISHWA KWA NGUVU tu, kama Laurent Bgabgo.
We nae hutofautiani na mwenyekiti wako mlevi, mmeshindwa kujenga ofisi ya chama yenye hadhi sasa hapo unatofauti gani na hao wajinga wenzio walioshindwa kujenga choo na huku kodi wanakusanya?
Nyumbu mkubwa we
 
Kichaa huropoka lolote lile Mkuu bila ya kutafakari kwa kina kile anachoropoka na athari zake.
Ona hili taahira nalo?

Ulitaka rais asemeje pale? Aseme basi hiyo Stand iendelee kukaa bila choo?

Mbona unakoment kama uko na mwenyekiti mnabwia makonyagi?
 
Hata Masasi tumepaona palivo. Lami tu wamekuja kuwekewa na JPM. Sasa unasema je kuhusu Mkapa kuwa mbunge wa pale kwa miaka 15 alafu akaja kuwa Raisi????
Ulinganisho wa nini? Kama ni hivyo, je, umewahi kufika kwao na Lissu ulinganishe na kwa marehemu Ben?
 
Siko huko uliko wewe.Kuwa mtulivu utanielewa.Hata nilipo tunapata tabu sana na Rais ameshapita mara nyingi tu sijawahi ona mbadiliko yoyote yale.
Nakupa tu taarifa fupi..Nipo sehemu umeme kwa week una katika zaidi ya mara 200.
Hakuna sababu na huu ni mwaka wa tano.
Nani anajali unafikiri?
Umewahi kufiwa?Na mtu yoyote wa karibu?
Sasa umejibu nini hapa na wewe?
Kufiwa na tunachojadili vinauhusiano gani?

Haya huko kukatika kwa umeme katika eneo lako nako ni kukosekana kwa busara na hekima ya rais?

Sasa huyu rais atajigawaje kama kila kitu yeye tu?
 
Viongozi wengi wa Chadema/Upinzani wanajua sana siasa za majukwaani lakini kwenye vitendo wengi ni zero including Lissu
Wapinzani wana siasa za kukosoa matukio badala ya sera/mikakati km leo Rais akasema hiki au katenda kile. Na Rais kwa kung'amua upuuzi wao huo hutamka maneno ambayo anafanya makusudi kuwaondoa walinzani kwenye hoja za kitaifa wakamwongelea yeye kama yeye kasema au katenda nini.
 
Dawa wananchi wachague wabunge wengi wa upinzani ili serikali yoyote itakayoingia madarakani baada ya uchaguzi wa Oktoba 2020 iweze kubanwa na iwajibike kuwatumikia wananchi walipa kodi.
bagamoyo Kwani hao wapinzani wamefanya Nini kwrnye majimbo yao?kubenea si mbunge wa Chadema kafanya Nini ubungo?Mzee acha kuingiza ushabiki wako wa kisiasa kwenye mambo ya msingi yanayohusu nchi.Mbunge anachaguliwa kutokana na uwezo wake si kwa sababu katokea chama fulani.
 
We nae hutofautiani na mwenyekiti wako mlevi, mmeshindwa kujenga ofisi ya chama yenye hadhi sasa hapo unatofauti gani na hao wajinga wenzio walioshindwa kujenga choo na huku kodi wanakusanya?
Nyumbu mkubwa we
Hao walioshindwa kujenga choo si wajinga wenzako wa huko lumumba mkuu? Muda wote mnashinda humu kupiga blah blah tu, n.g.u.r.u.w.e ninyi shida sana.
 
Sasa umejibu nini hapa na wewe?
Kufiwa na tunachojadili vinauhusiano gani?

Haya huko kukatika kwa umeme katika eneo lako nako ni kukosekana kwa busara na hekima ya rais?

Sasa huyu rais atajigawaje kama kila kitu yeye tu?

Ajigawe tu kwani kawezeje kusikiliza ya hao ..ni hao tu wana shida na wanaoteseka?
Muda mwingi tu anao atembe mtaa kwa mtaa.
 
Hah Hah siasa haihitaji hasira, ndiyo tatizo la kukosa mfumo kila kitu wateuliwa kama ma-RC, DC, DED hawajiamini kutoa maamuzi wanasubiri Mh. Rais atatue. Hili pia lipo ktk mhimili wa Bunge ambapo wabunge wa CCM wanashindwa kuiwajibisha serikali wanawaachia mawaziri watoe maswali na majibu kwa niaba ya wabunge wa CCM.

Uchaguzi wa Oktoba 28 , 2020 wagombea wa CCM watakuwa wapweke hakuna wa kuwabeba kutoka mhimili wa serikali kuu (dola) wala spika kuwalinda dhidi ya maamuzi magumu ya wananchi kuchagua wabunge kutoka upinzani wenye uwezo wa kusema kwa niaba ya wananchi na kuibana serikali ili iweze kuamka toka usingizini ipate kuwajibika.
Haupo serious! Mwaka huu upinzani hata wa chuya tu hamtaupata! Natanguliza pole yenu!
 
Vitu vingine vya kijinga sana. Yaani wanakusanya 1B na ushee ila kujenga a mere pit toilet mpaka Rais aje? Anyway, wanajuana wenyewe maana ni wateule wake hawa
 
ZERO BRAINS yet your fear them in a FREE and FAIR elections because you know the results will mean the end of maccm in this country.

Viongozi wengi wa Chadema/Upinzani wanajua sana siasa za majukwaani lakini kwenye vitendo wengi ni zero including Lissu
 
Nakiri kuwa Rais na Mwenyekiti wangu CCM Taifa Dkt. Magufuli ni Mtu wa Jazba ila tukiacha Unafiki kwa 99% anaangushwa tu na Watendaji wake.
Hahaha hata yeye ikuwa mbunge wa chato kwa miaka 20 na alikuwa waziri na bado chato ina mapungufu mengi tu.
Aache kudanganya watu kwamba anakerwa, hizo siasa za kizamani sana. Ni wajinga tu ndio wataona anaangushwa.
 
Nafikiri kipindi hiki kuna shida kwa local governments kujiendesha, ni kama zimenyanga'anywa mamlaka yake. Makusanyo mengi ya halmashauri kwa sasa yatakuwa yanakwenda hazina, hivyo hata ukihitaji kutumia pesa lazima uombe kutoka huko serikali kuu jambo ambalo linazifanya halmashauri kushindwa kutekeleza mipango yake kwa uhuru kama ilivyokuwa huko nyuma.
Pesa huletwa bwana kwa shughuli husika ilivyopendekezwa Na halimashauri husika
 
Dawa wananchi wachague wabunge wengi wa upinzani ili serikali yoyote itakayoingia madarakani baada ya uchaguzi wa Oktoba 2020 iweze kubanwa na iwajibike kuwatumikia wananchi walipa kodi.
Wabunge akina Lisu hawana sifa hao
 
Imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo; na bayana ya mambo yasiyo onekana.

Endelea kutarajia mambo yasiyo onekana.

CCM itatawala daima maana hakuna mpinzani mwenye akili Wala lengo la kuongoza nchi
MAGUFULI SELEMA
 
Nguvu ipi? Alafu busara ipi unayoongelea wewe? Unajua shida wanayopata hao wananchi kuwa na stand isiyo na choo?
Hizi busara unazotka wewe ni zipi?
Wapinzani hasa kundi la lisu wote wanauraibu wa madawa ya kulevya Achana nao
 
Back
Top Bottom