Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Big up Mhe.Rais
 

Naomba kuuliza kama huyu mpongezaji alijitokeza kukosoa hiyo fomula ya ukokotoaji kabla rais hajafanya alichofanya?

Kama alikaa kimya basi kumpongeza rais leo hii na kumpambapamba ni unafiki na kujipendekeza!
 
Mwakani uchaguzi wa Serikali za mitaa, 2024 uchaguzi wa Serikali za mitaa...Porojo zitakuwa zilezile

Sidhani kama atahairisha uchaguzi ila anatafuta sifa za kisiasa kabla ya uchaguzi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni wazi tz tutachelewa sana kupata maendeleo ya uhakika,kama kweli mtu anaweza kutengeneza tatizo kisha watu wenye akili zao timamu wakamlalamikia na kumlaani kwa kila neno tena kwa hasira,then mtu huyohuyo akaamua kulifanyia usanii lile tatizo na kulitoa kisha watu walewale wenye akili zao timamu wakaibuka kumsifia na kumuona kama mwokozi wao,kwa nini umasikini usizidi kuwepo kwa akili kama hizo???na cha ajabu hata alama za nyakati wanashindwa kuzisoma,hatutaweza kusonga mbele zaidi kwa akili kama hizi!
 
Wamevaa miwani muda huu...
 
So wataka kusema 2015+miaka saba ni 2023?
 
Dakika 3 tu zimeleta neema !
 
Hawa Mapropesa wetu sijui wamekula maharage ya wapi?Na sasa sijui watakuja na maneno gani tena!
 
Eti hongera Mnyika.
Hivi unafikiri hiyo kauli ya mnyika pekee ndio imemfanya Raisi afanye hivyo.
Yaani upinzani kama mko hivi basi msahau 2020. Tena huyo Mnyika harudi Bungeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu unakasirika nini? Mnyika si ni mmoja kati ya waliopaza sauti zao kuhusu mafao? Au unataka nani apongezwe wa CCM aliyepaza sauti?
 
Ni jambo la kuendelea kumshukuru mh Rais lakini kubwa zaidi ni watendaji kumsaidia Rais asiwe kila kitu lazima afafanue na kutatua yeye,suala kama hili lilitakiwa kumalizwa na wale walioleta mpango wa kikokoto cha 25%bàada ya kuonekana hakifai na wala hakina tija kwa watumishi
 

Kijana /Mzee taratibu na maneno yako dakika 3 za Mnyika zimewavuruga sana.
 

Hongera Mnyika.
 
Upo sahh... Kwa pic nlioiona leo nazan watendaj wa ile mifuko hawakuwa serious kbsa na makato ambayo mtumish anakatwa kwny salary ili kuchangia mifuko ile.... Hawakuwa serious kvp?

Miradi waliyokuwa wameianzsha haikuwa miradi ambayo ingeweza kusaidia mifuko kutoka sehemu 1 ad nyngne, hali kazalika serikali nayo kpnd ilipokuwa inaazma fedha bdo pengine Ilikuwa hairejesh kwa waqt tho kwa hili cna hakika... + mengine kama ayo ambapo ndo yamepelekea hii hali tuliyopo kutokea n mpk rais wetu ikabd atoe maamuz baada ya kushirikishwa...

Sasa Saiv watendaji wa mifuko io tyar washapewa mamlaka pamoja na onyo haswa ktk matumiz ya fedha inayopatkana thus I think ata io progressn period aloitoa ambapo monitoring naendelea ad 2023 ...kila kitu kitajirudi vema kama tu watendaji ktk mifuko io watakuwa makini kulingana na maelekezo ambayo mkulu amewapa...

Na kiukweli mhe rais katoa maelekezo ambayo yana tija sana ktk kulinda wastaaf wa sasa nawaza haswa ad io 2023 thus watendaji wawe makin kutekeleza ilo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…