Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Hahahaha
Mtafukua makaburi ambayo tayari wafu walishafufuka kitambo.

Rais alishatoa maelekezo ya kusimamisha hicho kikokotoo.

Hii hoja ya 2018 unaiibua leo ili kuitumia kwenye kampeni...
2023 si mbali
 
Hahahaha
Mtafukua makaburi ambayo tayari wafu walishafufuka kitambo.

Rais alishatoa maelekezo ya kusimamisha hicho kikokotoo.

Hii hoja ya 2018 unaiibua leo ili kuitumia kwenye kampeni...
Hili kaburi, linafufuliwa kwa ajili ya watanzania wasahaulifu, wasifanye makosa au wasije kumlaumu mtu 2023
 
Rais Dkt. John Magufuli leo Disemba 28, 2018 anatarajia kukutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), vyama shiriki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF & NSSF) na SSRA Asubuhi hii, Ikulu jijini Dar es salaam. Ni kuhusu Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO.

Fuatilia Redio, Televisheni na Mitandao.View attachment 979324

=======

"Nimeona nije niwasikilize pande zote mbili, kama nitaweza ninaweza kutoa majibu yote leo. Haya masuala lazima yafikie mwisho".

Kauli ya Rais Magufuli katika mkutano wake na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA).

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumorooo...
 
Back
Top Bottom