Binadam tunasahau haraka sanaChonde chonde wafanyakakazi , muda wenu ndio huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadam tunasahau haraka sanaChonde chonde wafanyakakazi , muda wenu ndio huu
2023 si mbaliHahahaha
Mtafukua makaburi ambayo tayari wafu walishafufuka kitambo.
Rais alishatoa maelekezo ya kusimamisha hicho kikokotoo.
Hii hoja ya 2018 unaiibua leo ili kuitumia kwenye kampeni...
Hili kaburi, linafufuliwa kwa ajili ya watanzania wasahaulifu, wasifanye makosa au wasije kumlaumu mtu 2023Hahahaha
Mtafukua makaburi ambayo tayari wafu walishafufuka kitambo.
Rais alishatoa maelekezo ya kusimamisha hicho kikokotoo.
Hii hoja ya 2018 unaiibua leo ili kuitumia kwenye kampeni...
Kitaendelea Hadi Atakapomaliza2023 ndio inakaribia
Kitaendelea Hadi Atakapomaliza
Ajaye Naye Ataendelea Hivyo Hivyo
Tumorooo...Rais Dkt. John Magufuli leo Disemba 28, 2018 anatarajia kukutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), vyama shiriki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF & NSSF) na SSRA Asubuhi hii, Ikulu jijini Dar es salaam. Ni kuhusu Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO.
Fuatilia Redio, Televisheni na Mitandao.View attachment 979324
=======
"Nimeona nije niwasikilize pande zote mbili, kama nitaweza ninaweza kutoa majibu yote leo. Haya masuala lazima yafikie mwisho".
Kauli ya Rais Magufuli katika mkutano wake na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA).
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakuwa live hapa na luningani kote
Karibu!