Alwatan Mabruki
Senior Member
- Sep 20, 2020
- 132
- 118
- Thread starter
- #21
Rais huyo huyo unaemsingizia , alisema anataka kuzalisha Mabilionea 100 na zaidi mpaka atakapomaliza muda wake.Magufuli alijiapiza kuwa akiwa rais anataka matajiri waishi kama mashetani, yeye hapendi matajiri.
Tuna rais wa ajabu ajabu ajabu haijawahi kutokea
Sasa unasemaje tuna Rais wa Ajabu.