Rais Magufuli achochea kuimarika kwa sekta ya biashara

Magufuli alijiapiza kuwa akiwa rais anataka matajiri waishi kama mashetani, yeye hapendi matajiri.


Tuna rais wa ajabu ajabu ajabu haijawahi kutokea
Rais huyo huyo unaemsingizia , alisema anataka kuzalisha Mabilionea 100 na zaidi mpaka atakapomaliza muda wake.
Sasa unasemaje tuna Rais wa Ajabu.
 
Magufuli alijiapiza kuwa akiwa Rais anataka matajiri waishi kama mashetani, yeye hapendi matajiri.

Tuna Rais wa ajabu ajabu ajabu haijawahi kutokea
Amebana mianya ya Rushwa na Mafisadi ndio maana mnasema hapendi matajiri.. Rais wetu Magufuli anawapigania Watanzania kwa kulinda Rasilimali zetu na Kuokoa Mabilioni ya Fedha yaliyokuwa yanaenda vinywani mwa wachache
 
Mwanasiasa akikwambia usiku mwema toka nje kaangalie kama sio mchana.

Sekta ya biashara imeimarika, sijui biashara gani inayoongelewa hapa.
 
In entrepreneurship we learn how to do business not about business
 
Kuwa na slightly idea ya hizo policy sio kwamba umezielewa na ndio maana kiingereza ulicho tumia hakileti maana uliokusudia kwa msomaji anayeelewa lugha na biashara pia
E.g. umezungumzia biashara kufungwa bila kuelezea nini kimefungwa na sababu gani zimefungwa au serikali imekuwa ni kikwazo, Sasa hiyo tunasema ni sweeping statement inayozoa kichafu na kisafi, hivyo kisafi nacho kinakuwa kichafu.
 
Nguvu kubwa mnatumia wakati wananchi ni mashuhuda wa kuporwa korosho, kifo cha mnada wa mbaazi na choroko na pia soko la chai kuzorota.
Give us Facts and Figures, tuambie hapa ni wananchi wangapi wameporwa? Huo mnada wa mbaazi umekufaje? Tupe facts ni mnada upi, ulikuwaje na upoje sasa hivi? Usipige umbea
 
Zimefutwa kwenye eneo gani ? Tusidanganyane hapa kwamba biashara zinatiririka kama maji ya mto Ruvu. Nyingi ziko hoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…