Rais Magufuli afungua Msikiti wa Abubakar Bin Zuberi Chamwino, Dodoma

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Magufuli amefungua msikiti wa kisasa unaoitwa Abubakar Bin Zuber Chamwino Dodoma leo.

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Vyombo vya Dola akiwemo CDF Mabeyo, IGP Sirro, Mkurugenzi wa TISS, Diwani na makamanda wa JKT waliojenga msikiti huo.

Source: Channel Ten

Maendeleo hayana vyama!
 
Mnaelekea kuehuka kutoka kupiga magoti Mpaka kuzindua misikiti Mara kumikumi .
 
Mabeyo ameshusha sana hadhi ya jeshi
 
Rais Magufuli amefungua msikiti wa kisasa unaoitwa Abubakar Bin Zuber Chamwino Dodoma leo.
Huu msikiti ulistahiri upewe jina la aliyechangisha na kuwezesha kujengwa kwake.

Ingependeza sana na ni heshima kubwa, hata kwa Mungu atakayekuwa anapokea sara za waumini watakaokuwa wakisali hapo.
 
Innalilahi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…