Rais Magufuli afungua Msikiti wa Abubakar Bin Zuberi Chamwino, Dodoma

Rais Magufuli afungua Msikiti wa Abubakar Bin Zuberi Chamwino, Dodoma

Hahahah vyombo vya ulinzi na usalama kwenye uzinduzi wa msikiti.# Ni yeye 2020#
Bado tungesikia, katika sherehe hizo za ufunguzi ambazo zilitanguliwa na gwaride rasmi la majeshi ya ulinzi na usalama na kukaguliwa na Mufti mkuu wa Bakwata akisaidiwa na Rais Juma Magufuli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rais Magufuli amefungua msikiti wa kisasa unaoitwa Abubakar Bin Zuber Chamwino Dodoma leo.

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Vyombo vya Dola akiwemo CDF Mabeyo, IGP Sirro, Mkurugenzi wa TISS, Diwani na makamanda wa JKT waliojenga msikiti huo.

Source: Channel Ten

Maendeleo hayana vyama!
Ni kosa kubwa kwa rais kufungua nyumba za ibada wakati huu wa kampeni.
 
Ni kosa kubwa kwa rais kufungua nyumba za ibada wakati huu wa kampeni.
Kosa kwa rais kufungua nyumba za ibada wakati wa kampeni? Kosa kwa mgombea au kwa rais maana kuna wakati rais anakua mgombea na kuna wakati anakua rais.
Sasa kama ni rais kosa lake nini, kavunja kipengele gani cha kanuni za uchaguzi?
Ubovu wa katiba yetu watu wanautumua barabara , matobo ya sheria huwanufaisha watu mara zote.
Wagombea wananyadhifa nyingine ndio maana uliona mgombea wa CDM alipozuiwa kufanya kampeni alienda kutembelea maeneo kadhaa kama Makamu mwenyekiti na sio mgombea.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
"msikiti uliojengwa kwa fedha za makafir, ukazinduliwa na makafir ili kulinda heshima za kikafir"
 
Rais Magufuli amefungua msikiti wa kisasa unaoitwa Abubakar Bin Zuber Chamwino Dodoma leo.

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Vyombo vya Dola akiwemo CDF Mabeyo, IGP Sirro, Mkurugenzi wa TISS, Diwani na makamanda wa JKT waliojenga msikiti huo.

Source: Channel Ten

Maendeleo hayana vyama!
Bora nisali Nyuma ya choo kuliko kusalia msikiti huo shime waislamu ... huo si msikiti wenye kumbukumbu nzuri kwa waislam wapenda haki katika nchi hii hasa katika utawala huu wa awamu ya 5

Msikiti huo ni zawadi ya kinafiki uliotolewa ili kuficha udhalimu wa sikali ya Magufuli kupitia kIchaka cha BAKWATA na genge lao la kina Zuberi na Al-Hadi adhabu ya allah unawsubiri in shaa allah
 
Nilimsikia Yesu Wa Lugola
Akisema Nilitamani Nile Chakula Lakini Nitatuma Mwakilishi Ale Chakula Changu!!!😁😂
 
Yeye na Sirro hawafai kuongoza kabisa, kwanza anko Magu kutumia cheo cha rais na kuwaalika hao wanajeshi kuzindua msikiti usio wa waislam ni kufuru mbaya sana
Ikumbukwe muda wa rais kuwa madarakani umekwisha hivyo anko Magu hapaswi kusimama kama rais hadi uchaguzi ufanyike
Ingekuwa heri hao makamanda waambatane na Tundu Lissu ktk kampeni zake pia hapo kungekuwa na usawa
Mabeyo ameshusha sana hadhi ya jeshi
 
Labda kamaanisha wale Mifugo wenye pua bapa na vimikia vidogo.
Una maanisha huyu hapa?
Screenshot_20200628-103658.jpg
 
Back
Top Bottom