Rais Magufuli agusa mioyo ya wakenya sasa wataka Serikali yao itumie fedha za ndani kujenga miundombinu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wakizungumzia deni la taifa la nchi yao ambalo limekua mara dufu baada ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo reli ya kiwango cha SGR wakenya wameitaka serikali yao iache kukopa na badala yake itumie fedha zake. Mkopo wa ujenzi wa reli hiyo umetolewa na China.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

My take; Rais Magufuli anatoa uongozi wa mfano barani Afrika!
 
Wanaongea wasilolijua kama wewe unavyoshabikia usiyoyajua! Wameambiwa huku fedha za ndani wakajua Kweli? Na Hilo skyrocketed Deni la taifa anakopa mjomba wetu? Za kuambiwa changanya na za kwako sio kupokea kama kinda la Ndege utakuja kulishwa misumari
 
Hakuna mahali ambapo nimeona Wakenya wameguswa na jpm kwenye content ya habari yako kama ulivyoeleza kwenye title..
So Wakenya wanafikiri SGR na miundombinu mingine yote inafanywa na pesa za ndani?
Mleta mada u must be at the highest level of your UTAAHIRA.
 
Wewe unakula misumari?!
 
............Wasisahau lakini haya yote hayawezekani kama hawakuumia kwa kulipa kodi sawasawa inavyotakikana!Bongo yanawezekana coz tumenyooshwa tukanyooka siyo kwa miujiza tu iwe na ikawa.
 
Kenya nchi nyingine uwezi kuilinganisha tanzania.Bajeti ya nchi hiyo ni sawa na Bajeti ya Tanzania +Rwanda.Kenya inatakiwa kuingizwa ktk nchi zenye viwanda vya kati/uchumi wa kati.
 
Kenya nchi nyingine uwezi kuilinganisha tanzania.Bajeti ya nchi hiyo ni sawa na Bajeti ya Tanzania +Rwanda.Kenya inatakiwa kuingizwa ktk nchi zenye viwanda vya kati/uchumi wa kati.
Hakuna aliyekataa ila ujue Deni la Kenya limefikia sehemu mbaya kiasi wamefikiwa kugongewa kengere za hatari na Word Bank na IMF, Sasa wanaminywa sana kwenye kodi na wanatumia nusu ya pato lao kwa mwezi kulipa madeni sasa kama wananchi wamelalamika kuwa hiki sicho kama Tanzania imeweza kujenga Reli ya SGR toka Dar - Dodoma KM 725 Kwa pesa za ndani ambazo ni sawa na USD $ kama 3.14 Billion = Tsh 7.06 Trilion Kwanini Kenya wamekopa USD $ 3.6 toka China kujenga Reli KM 485...!
 
Well said!
 
Ukikopa unauhakika wa kukamilisha mradi. Ni zaidi ya mwaka sasa SGR yao Mombasa -Nairobi imekamilika na wanakaribia Busia mpakani na Uganda. Waganda nao wanakaribia Kampala toka Busia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…