Rais Magufuli agusa mioyo ya wakenya sasa wataka Serikali yao itumie fedha za ndani kujenga miundombinu!

Inamaana TZ haikopi fedha za miundombinu?
 
Wee una mtindio wa Ubongo mradi mkubwa kama huu huwezi ukatekelezwa kwa fedha za ndani sabb unachukua muda mrefu kukamilika halafu kurudisha gharama kubwa zilizotumika nazo huchukua miaka mingi mfano angalia sasa kila sekta muhimu afya, Elimu, maji, na hata serikali yenyewe kwa ujumla zipo taabani ni Kama zimebomoka. Kwanza mradi wenyewe una ufisadi wa kutisha na una siri kubwa ndani yake na wanaosimamiia ufisadi ni waTz wenzetu ambao baadhi yao walipelekwa Turkey na wengine wapo huko acha ujinga kutetea usivyovijua kama Wakenya wanamuona anafaa wamchukue sasa hivi akawaumize
Umeshapanic........Mwenyekiti wako yuko Ubelgiji anakula bata kwa kutumia fedha yetu ya ruzuku we mbwiga!
 
Hivi vichwa vya habari mbona kama gazeti la Tanzanite
Wakizungumzia deni la taifa la nchi yao ambalo limekua mara dufu baada ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo reli ya kiwango cha SGR wakenya wameitaka serikali yao iache kukopa na badala yake itumie fedha zake. Mkopo wa ujenzi wa reli hiyo umetolewa na China.
Source BBC Dira ya Dunia
My take; Rais Magufuli anatoa uongozi wa mfano barani Afrika!
 
Mbona unawalisha Wa K maneno?
 
Wakizungumzia deni la taifa la nchi yao ambalo limekua mara dufu baada ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo reli ya kiwango cha SGR wakenya wameitaka serikali yao iache kukopa na badala yake itumie fedha zake. Mkopo wa ujenzi wa reli hiyo umetolewa na China.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

My take; Rais Magufuli anatoa uongozi wa mfano barani Afrika!
Bahati mbaya Kenya hakuna wajinga kama huko
 
Wee una mtindio wa Ubongo mradi mkubwa kama huu huwezi ukatekelezwa kwa fedha za ndani sabb unachukua muda mrefu kukamilika halafu kurudisha gharama kubwa zilizotumika nazo huchukua miaka mingi mfano angalia sasa kila sekta muhimu afya, Elimu, maji, na hata serikali yenyewe kwa ujumla zipo taabani ni Kama zimebomoka. Kwanza mradi wenyewe una ufisadi wa kutisha na una siri kubwa ndani yake na wanaosimamiia ufisadi ni waTz wenzetu ambao baadhi yao walipelekwa Turkey na wengine wapo huko acha ujinga kutetea usivyovijua kama Wakenya wanamuona anafaa wamchukue sasa hivi akawaumize
Hebu tufafanulie huo ufisadi unafanyikaje katika huo mradi?
 
Kwakweli shetani umeweza kutawala Dunia. Yaani leo mtu anakuja humu eti miradi inayojengwa awamu hii tunatumia pesa za ndani..Flyover yenyewe ni msaada na mkopo wa Japan..
SGR ni mkopo wa China ingawa na Uturuki imetoa kiasi..
Umeme wa REA ni EU..leo hii lumumba eti miradi imetumia madafu...aaah
KICHAA
 
Si afadhali Magufuli anayekopa halafu anajengea miundo mbinu na kufanya mambo mengine yenye manufaa kwa wananchi?Wengine si walikuwa wanazitumia kwa starehe na kujiendeleza wao wenyewe na ndugu zao tuu.Ovyo sana msitukumbushe machungu.
Wewe ni kichaa bila shaka..Ebu tuambie miradi ambayo aijagusa watanzania wakati wa JK.
VYUO VIKUU
SHULE KILA KATA
MAABARA KILA SHULE
BARA BARA LA RAMI
AJIRA KWA WAHITIMU
KUPANDISHA MISHAHARA
HAKI NA UTAWALA WA SHERIA..
 
Ukikopa unauhakika wa kukamilisha mradi. Ni zaidi ya mwaka sasa SGR yao Mombasa -Nairobi imekamilika na wanakaribia Busia mpakani na Uganda. Waganda nao wanakaribia Kampala toka Busia!
Ni bora ukauliza...
 
Wewe ni kichaa bila shaka..Ebu tuambie miradi ambayo aijagusa watanzania wakati wa JK.
VYUO VIKUU
SHULE KILA KATA
MAABARA KILA SHULE
BARA BARA LA RAMI
AJIRA KWA WAHITIMU
KUPANDISHA MISHAHARA
HAKI NA UTAWALA WA SHERIA..
Sina haja ya kuongea kuhusu Kikwete,mwenye nia njema na Tanzania na Watanzania anajua aliyotufanya.Hata Baba yangu mzee 96 years old now ambaye hajasoma hata darasa moja, analia na Kikwete.Wengine hata walidiriki kumuita Kiwete.
 
Back
Top Bottom