johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Wamejihusisha wenyewe acha kukariri!Acha kuwahusisha Wakenya na vitu vya kijinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamejihusisha wenyewe acha kukariri!Acha kuwahusisha Wakenya na vitu vya kijinga
Umeshapanic........Mwenyekiti wako yuko Ubelgiji anakula bata kwa kutumia fedha yetu ya ruzuku we mbwiga!Wee una mtindio wa Ubongo mradi mkubwa kama huu huwezi ukatekelezwa kwa fedha za ndani sabb unachukua muda mrefu kukamilika halafu kurudisha gharama kubwa zilizotumika nazo huchukua miaka mingi mfano angalia sasa kila sekta muhimu afya, Elimu, maji, na hata serikali yenyewe kwa ujumla zipo taabani ni Kama zimebomoka. Kwanza mradi wenyewe una ufisadi wa kutisha na una siri kubwa ndani yake na wanaosimamiia ufisadi ni waTz wenzetu ambao baadhi yao walipelekwa Turkey na wengine wapo huko acha ujinga kutetea usivyovijua kama Wakenya wanamuona anafaa wamchukue sasa hivi akawaumize
Wakizungumzia deni la taifa la nchi yao ambalo limekua mara dufu baada ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo reli ya kiwango cha SGR wakenya wameitaka serikali yao iache kukopa na badala yake itumie fedha zake. Mkopo wa ujenzi wa reli hiyo umetolewa na China.
Source BBC Dira ya Dunia
My take; Rais Magufuli anatoa uongozi wa mfano barani Afrika!
Mnampaamba sana makomeo, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza! Makomeo kashindwa!
Mbona unawalisha Wa K maneno?Wakizungumzia deni la taifa la nchi yao ambalo limekua mara dufu baada ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo reli ya kiwango cha SGR wakenya wameitaka serikali yao iache kukopa na badala yake itumie fedha zake. Mkopo wa ujenzi wa reli hiyo umetolewa na China.
Source BBC Dira ya Dunia
My take; Rais Magufuli anatoa uongozi wa mfano barani Afrika!
Hahahhaha, hata wewe kwamtogole unasema? Kwamba waje wamchukue kama wanamtakaWamchukue tu kama wanamtaka
Bahati mbaya Kenya hakuna wajinga kama hukoWakizungumzia deni la taifa la nchi yao ambalo limekua mara dufu baada ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo reli ya kiwango cha SGR wakenya wameitaka serikali yao iache kukopa na badala yake itumie fedha zake. Mkopo wa ujenzi wa reli hiyo umetolewa na China.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
My take; Rais Magufuli anatoa uongozi wa mfano barani Afrika!
Hebu tufafanulie huo ufisadi unafanyikaje katika huo mradi?Wee una mtindio wa Ubongo mradi mkubwa kama huu huwezi ukatekelezwa kwa fedha za ndani sabb unachukua muda mrefu kukamilika halafu kurudisha gharama kubwa zilizotumika nazo huchukua miaka mingi mfano angalia sasa kila sekta muhimu afya, Elimu, maji, na hata serikali yenyewe kwa ujumla zipo taabani ni Kama zimebomoka. Kwanza mradi wenyewe una ufisadi wa kutisha na una siri kubwa ndani yake na wanaosimamiia ufisadi ni waTz wenzetu ambao baadhi yao walipelekwa Turkey na wengine wapo huko acha ujinga kutetea usivyovijua kama Wakenya wanamuona anafaa wamchukue sasa hivi akawaumize
Wewe ni kichaa bila shaka..Ebu tuambie miradi ambayo aijagusa watanzania wakati wa JK.Si afadhali Magufuli anayekopa halafu anajengea miundo mbinu na kufanya mambo mengine yenye manufaa kwa wananchi?Wengine si walikuwa wanazitumia kwa starehe na kujiendeleza wao wenyewe na ndugu zao tuu.Ovyo sana msitukumbushe machungu.
Ni bora ukauliza...Ukikopa unauhakika wa kukamilisha mradi. Ni zaidi ya mwaka sasa SGR yao Mombasa -Nairobi imekamilika na wanakaribia Busia mpakani na Uganda. Waganda nao wanakaribia Kampala toka Busia!
Sasa eti upinzani waende Ikulu,si watatuuza na vitukuu vyetu.Mbowe alikuwa anazurura tu ulaya na mkewe Nkya kwa posho ya bunge hadi wenzie wakamlipua bungeni!
Sina haja ya kuongea kuhusu Kikwete,mwenye nia njema na Tanzania na Watanzania anajua aliyotufanya.Hata Baba yangu mzee 96 years old now ambaye hajasoma hata darasa moja, analia na Kikwete.Wengine hata walidiriki kumuita Kiwete.Wewe ni kichaa bila shaka..Ebu tuambie miradi ambayo aijagusa watanzania wakati wa JK.
VYUO VIKUU
SHULE KILA KATA
MAABARA KILA SHULE
BARA BARA LA RAMI
AJIRA KWA WAHITIMU
KUPANDISHA MISHAHARA
HAKI NA UTAWALA WA SHERIA..