Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio

I am so happy. Tulikua tunapoteza hii brain kwa sababu za kijinga kabisa.

Bodi ya mhongo ilikua ya kipumbavu kabisa.

Hivi unamuachaje Dr. Mataragio nje ya mambo ya gesi na mafuta?

Dokta kapige kazi. Uadilifu wako umeonekana baada ya yote.
Acha kuibebesha lawama bodi ya Muhongo, kusimamishwa kazi na kufikishwa mahakamani kwa James Mataragio ni maamuzi ya Jiwe LIVE, hiyo bodi ilitumika tu ku-rubber stamp kama alivyotumika DPP ku-rubber stamp maamuzi ya Jiwe kuwaachia wale polisi ambao alitangaza hadharani kwamba ana ushahidi wale askari wamekula rushwa!!

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC aliteuliwa na JPM mwezi June 2016, na miezi miwili baadae Mataragiro akasimamishwa kazi na kufikishwa mahakamani!!

Hata hivyo, siwezi kushangaa manake kwa kupitia posts zako, inaonesha ni m-Lumumba wewe ambae Mayagi Mulaga amewataja kuwa m-Lumumba lazima uwe na kiwango cha PhD cha unafiki!! Hata kama ungekuwa na uhakika 100% kwamba issue ya Mataragiro ni Jiwe amehusika, bado ungejifanya hujui!!
 
I am so happy. Tulikua tunapoteza hii brain kwa sababu za kijinga kabisa.

Bodi ya mhongo ilikua ya kipumbavu kabisa.

Hivi unamuachaje Dr. Mataragio nje ya mambo ya gesi na mafuta?

Dokta kapige kazi. Uadilifu wako umeonekana baada ya yote.
lost id,
Unafikiri baada ya yaliyo mkuta bado atakuwa na moyo ule ule katika kuitumikia hiyo nafasi ?
Atalipwa haki zake zote? Jamaa nyota ya jaha imemuangukia
 
Moja ya silaha kubwa ya JPM inayo mfanikisha uongozi wake ni kutokuendesha uongozi wake kwa mazoea.
Anafanikisha kipi?! Huyo Mataragiro ni mwenyewe JPM ndie alimfanyia fitina; leo hii anamrudisha tena madarakani! Yaani yale yale ya kutangaza hadharani kwamba polisi walikula rushwa kusindikiza wezi wa dhahabu ya mabilioni ya shilingi lakini miezi 6 baadae anamwagiza DPP kuwaachia wale wale ambao JPM aliwaita Wahujumu Uchumi na wala rushwa!
 
for the first time ktk awamu hii Magufuli amenifurahisha sana, hakuna kitu kiliniuma kama Mataragio kuondolewa TPDC, najiuliza tuu yule mzee wa fitna anayekaimu ile nafasi atakuaje huko aliko? KARIBU NYUMBANI JAMES, HAKIKA SASA KUTANOGA.
 
Ndo maana nilisoma article fulani inaeleza wawekezaji kwenye sector ya kutafuta mafuta na gas wamepoteana na zile LPG na kiwanda cha mbolea ambavyo vilikuwa vijengwe vimeishia hewani huku walioshika ukubwa huko TPDC hawajielewi wanaingia na kutoka kazini kama mandezi hayana jipya kusukuma hiyo sector
Kuwapa uongozi watu wasio na exposure ni hasara sana,mtu kapigika huko mtaani anapewa madaraka bila kujali competance mwisho wa siku ndo hivyo tena mambo yameharibika
 
Katika mambo ambayo huwa yananiudhi hapa bongo hasa kwenye utendaji wenye dhamana hata kama wamekuta kuna sheria mbovu au wanaona zinakwamisha mambo hawajisumbui kuangalia namna ya kuiboresha wanakomaa nayo hivyo hivyo.Sheria inasema sheria inataka yaani watu wako rigid ndio maana huwa nasema wafanyakazi na viongozi wa serikali wakipewa kazi wawe wanapewa skills mbalimbali za kiuchumi,kibiashara na customer care wezeshi badala ya kudhibiti na kuwa rigid itasaidia kufikiria kimaendeleo kuliko kukosoana
Kama private sector wanavyofanya kwa watu wao wanaowaajili,mtu akija ofisi za serikali kutaka huduma watumishi na mabosi hutuma kudharau na kukwamisha wakati sie private sector fanya yoote lakini mteja asikwazike sasa huku utachoambiwa ni kutunza siri za serikali basi
 
Mzee mnafiki balaaa.. mtu ambaye naona ni mkweli ni mkapa.
 
Reactions: BAK
Kabisa , hili linatokana na kuwapa majukumu makubwa watu ambao hawaja andaliwa..

Piga mtu risasi kwa taarifa za umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…