Acha kuibebesha lawama bodi ya Muhongo, kusimamishwa kazi na kufikishwa mahakamani kwa James Mataragio ni maamuzi ya Jiwe LIVE, hiyo bodi ilitumika tu ku-rubber stamp kama alivyotumika DPP ku-rubber stamp maamuzi ya Jiwe kuwaachia wale polisi ambao alitangaza hadharani kwamba ana ushahidi wale askari wamekula rushwa!!I am so happy. Tulikua tunapoteza hii brain kwa sababu za kijinga kabisa.
Bodi ya mhongo ilikua ya kipumbavu kabisa.
Hivi unamuachaje Dr. Mataragio nje ya mambo ya gesi na mafuta?
Dokta kapige kazi. Uadilifu wako umeonekana baada ya yote.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC aliteuliwa na JPM mwezi June 2016, na miezi miwili baadae Mataragiro akasimamishwa kazi na kufikishwa mahakamani!!
Hata hivyo, siwezi kushangaa manake kwa kupitia posts zako, inaonesha ni m-Lumumba wewe ambae Mayagi Mulaga amewataja kuwa m-Lumumba lazima uwe na kiwango cha PhD cha unafiki!! Hata kama ungekuwa na uhakika 100% kwamba issue ya Mataragiro ni Jiwe amehusika, bado ungejifanya hujui!!