Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

Wewe jamaa ni muongo kuzidi hata baba wa uongo.

Hongera kwa kuwa namba moja kwenye dhambi na upumbavu.
 
Alfu lela ulela, inasikitisha wewe kuona wenzio wote ni watoto na wewe ndio mkubwa pekeyako.
 
Kwani nani hajapigwa?. Rais wa Amerika (Trump) alipigwa, Waziri mkuu wa Uingereza alitandikwa na kadhalika. Ni vita ya kibiolojia. Wa Uchina wamekazana kutaka kumpiga, wakashindwa. Wa Urusi wakashindwa.
Huu ugonjwa watu wengi wanaupata, usiandike as kama yy ndio target in the whole world, kwamba yeye tu ndio anatakiwa augue.

China hawana time na nchi ambayo wameipita almost 100 times kiuchumi, Russia hawana time vile vile. (hatuna threat yoyote kwa hizo nchi. Wao wanapambana na wakubwa wenzao akina US na UK vile hawana time nae. Acheni ku overrate hili suala.

Wakiamua kumbana serious, wiki hafikishi, ni vile hana threat yotote kwao
 
Hakuna anayetoa povu humu UKWELI UTATUWEKA HURU
Huyu hakufaa kuwa kiongozi wa nchi,CCM kuna watu wengi wazuri hapa mlibug step.
 
Yaani jiwe anajuaga watz woote hatunazo, anaongoza mazezeta!.
 
Utter trash...! Udhihirishwa kwa "uvundo" wake. Tuonyeshe uvundo wa hicho unachokiita trash!!!
 
Halafu kwa nini siku hizi nyumba za Ibada zinageuzwa na wanasiasa kuwa majukwaa yao ta Kisiasa? Nyie viongozi wa dini mtaharibu heshima yenu kwa kuwapa hawa wanasiasa madhabahu zenu kuwa ni uwanja wa siasa
 
Kwani wewe mwenzetu bado unamsikilizaga na kutilia maanani kauli za huyu jamaa? Unakumbuka aliwahi kusema hataki sera wala mafunzo ya uzazi wa mpango. Eti watu wazae watakavyop na yeye atasomesha watoto wote hao. je, ukijiuliza, kwani yeye hiyo nafasi aliyonayo ni ya milele? Maana ukizaaa watoto wengi bila mpangilio kwa katiba yetu yeye ataondoka ndani ya miaka kumi wakati hao watopto hata shule ya msingi watakuwa hawajamaliza. Sasa atakusomeshea hao watoto akiwa anapumzika Chattle?
 
Kama kufa tutakufa tu!? Kwanini anatembea na walinzi kibao,si atembee peke yake Ili Kama kufa si atakufa tu?
Kila sehemu anatembea na kipaza sauti chake,
Hili jitu ni nafiki sana

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…