Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

Halafu hata hizo dawa za asili nazo ni sayansi pia, kwani wanachofanya NIMR ni nini kama siyo sayansi?
Nakukatalia kuwa hii dawa ya asili waliotoa NIMR ya kutibu Corona kuwa ni sayansi.Nijibu maswali haya ya msingi ya kisayansi yanayohusiana na tiba.Dawa hii imejaribiwa wapi na lini ikaonyesha mafanikio ya kutibu Corona?Mafanikio hayo yalikuwa ni asilimia ngapi?
 
Mbona hamuhoji wale wa church wanaposahau mpaka wa state ulipo na kuhimiza wananchi wafanye mambo yasiyo ya ki-church bali ya kisiasa shughuli zinazo fungamana na state!? Tukisema mnafanya double standard gestures tutakosea!?
Unajua why the church inaingilia?

Principled leaders guide a nation into responsible action. And it is responsible action that honours principle, enabling others to understand and appreciate it. However, recent events in our State reveal failure on the part of our leaders-social, religious and political, to usher in the much-needed changes and progress.

The church could have played a pivotal role in addressing certain issues of the State, but most of the time, it has shied away from its responsibilities and focussed mainly on the holy agendas within its comfort zone. We have to speak and act, we have to engage government on moral terms, not on expediency or seeming interference.

Christians in the political arena have to commit themselves to honesty and integrity in all areas of their lives to show by example that following Jesus works. The church, as institution, needs to have competent lobbyists within government structures to inform and be informed about the issues of the day. This must be seen as an investment, not a costly luxury!
 
Mkuu ukweli ni kwamba, hadi sasa mask hazijaweza kuondolewa zote mtaani. Mfano mimi hapa nina box mbili za mask za kichina ambazo nilizinunua mwaka jana April, nilitumia chache tu kabla serikali haijahimiza matumizi ya mask za kushona wenyewe. Hivyo bado kama Rais ana wajibu wa kuwakumbusha watu kuhusu hilo. Sasa hivi serikali imeweka mazingira magumu ya uingizwaji wa hizo mask, na pia inafanya misako na ukaguzi wa kushtukiza kwenye outlets zote zinazofahamika kwa wakati huu. Na kingine imewapa nguvu MSD kufanya uzalishaji mkubwa ili kuziba pengo la imported masks.
 
Serikali inayomtumia Mungu kuficha uzembe wanaofanya.Kuugua Cancer,Malaria,TB,Pneumonia nk siyo tiketi ya kifo.Anawatisha wasaidizi wake kuwa kuvaa barakoa siyo kinga sahihi huku akiwaambia wachukue tahadhari bila kuzitaja.Sina uhakika kama wanaelewa watende/wanenaje sasa kuhusu uwepo/kutokuwepo kwa COVID hapa Tanzania.
Kiongozi wa nchi anawapongeza wasiovaa barakoa na kuwakatisha tamaa wanaozivaa eti hawawezi kuvaa kwa Siku nzima yenye saa 48 na zinahitajika barakoa 12 kwa Siku moja!
COVID is here and let's take precautions.
 
akikujibu nitagi kaka. nataka kujua research na testing iliwafanyika wapi na lini .. na results zake zilitokeaje
 
Na sijui kwa nini wanamuacha anafanya hayo yote?
 
Aisee " ... vita ya uchumi...".. la ibaada sawa 100% ila mambo ya kitaaluma awape nafasi waandamizi watimize wajibu wao.
Waataaluma wengine ni Wapigaji tu!!
 
Simply sijaona kosa la Magufuli, bali ninachokiona ni chuki binafsi tu.
Kwa hiyo tunaomkosoa tuna chuki binafsi. Tema mate chini mkuu wangu!
Aaaah weweeee! So, nani alileta hizo kontena za za vifaa tiba zenye kuwa na nia ovu?

Mlitutangazia kama Taifa tumjue hasa adui yetu? Makontena tulionyeshwa?

Kama mlikaa kimya bila kuonyesha umma huu ushahidi muhimu - that never existed. Ni propaganda tu!
Again, hii issue ya maabara nikifunguka ninachojua utashangaa sana. Huyo mama aloondolewa kwenye nafasi hiyo yuko wapi? Kwanini anaendelea kulipwa maslahi yake vilevile? Kwanini haachwi aondoke nchini? Kwanini alisimamishwa akiwa mwenyewe mgonjwa?

Well, NANI zaidi alishiriki katika upumaji wa mapapai (nje ya Govt) ambaye wananchi tunaweza ambiwa alikuwepo pia, mfano ile task-force ya COVID iliyokuwa na WHO ndani na wadau kadhaa.

Matokeo ya vipimo hivyo hayakutakiwa kutolewa kisiasa, wangekuja out clean na kama ni kwei, WHO local office ingelazimishwa kukiri kuwa something was totally wrong na vipimo vile.

Niwie radhi, tunaohoji ni kwakuwa tuko concerned sana. Tumeshapoteza ndugu zetu! Si chuki kama udhaniavyo. Sikuombei yakufike, ila yasikie kwa mtu tu
 

Naona Mh. Rais Magufuli amekereka kuona maoni ya dunia juu ya maamuzi yake Magufuli ya jinsi ya anavyoliangalia janga hili la Covid-19.

Leo Magufuli ameamua kuwapasha wenye mawazo tofauti naye kama hawa hapa chini :

foreignpolicy.com
Is Tanzania's President More Dangerous Than the Coronavirus?

Africa’s COVID-19 Denialist-in-Chief
4 days ago — President John Magufuli declared Tanzania free of the COVID-19 pandemic last year and has maintained that stance since.

Welcome to Foreign Policy’s Africa Brief.

The highlights this week: Tanzania’s president remains silent on the extent of the COVID-19 pandemic devastating the country, garbage in Angola’s streets is a sign of growing discontent, and which African Oscar contenders to watch.


Is Tanzania’s President More Dangerous Than COVID-19?
President John Magufuli declared Tanzania free of the COVID-19 pandemic last year and has maintained that stance since; even as hospitals fill up and funerals proliferate, Magufuli and his government have continued to behave as if the country has been untouched by the pandemic.

Kenya in the north recorded nearly 103,000 infections and 1,795 deaths, while Zambia to the south has registered 69,347 cases and 951 deaths. Nearby Mauritius and Madagascar have shown that not even islands have been spared, making Tanzania’s statistics even more implausible.

On the African Union’s Centres for Disease Control and Prevention coronavirus dashboard, one of the most reliable sources for pandemic statistics on the continent, Tanzania is a blank column. Magufuli’s government has refused to release any further statistics on the pandemic, leaving citizens guessing at the extent of the public health crisis.

Grave evidence. Anecdotal evidence shows that Tanzanians have much to worry about. Tanzania’s Catholic Church spoke up this month, begging its followers to wear masks and protect themselves as the country fails to outline a strategy. The Tanzania Episcopal Conference told BBC Swahili that it had noticed a rise in funeral services in cities, carrying out daily masses.

Bloomberg reported that seven major hospitals in Dar es Salaam had to turn patients away because they were inundated in recent weeks. Their intensive care units were at capacity, while beds, oxygen, and respirators were all in short supply. An exasperated lawmaker in Magufuli’s party, Zacharia Issay, urged the government to break its silence on the pandemic, telling parliament: “I am tired of going to burials.”

Dangerous misinformation. When the government has broken its silence, it has arguably been as dangerous as the virus itself. Magufuli’s cabinet members have reportedly mocked mask-wearing and criticized neighboring countries for imposing lockdown measures.

In an embarrassing televised display this month, Health Minister Dorothy Gwajima gave a demonstration on how to mix a smoothie of natural ingredients to boost the immune system and avoid diseases like COVID-19. Wrapping a scarf over her head, she demonstrated how Tanzanians could use herbal steaming as a remedy for respiratory infections. She also told the press that the government had no plans to procure vaccines.

Stoking fears. The health minister is taking her cues from Magufuli, who has also created suspicion about vaccines. Positioning himself as a champion against Western imperialism, Magufuli implied that Tanzanians were being used as guinea pigs for dangerous, untested vaccines. Even after being chastised by the World Health Organization, Magufuli would not walk back his comments.

After eight months of insisting that there were no COVID-19 infections in his country—and after Denmark reported that two of its citizens tested positive for the variant after traveling to Tanzania—Magufuli finally acknowledged the virus’s ongoing presence this month. He blamed Tanzanians who traveled abroad for bringing the virus...

Magufuli has repeatedly turned to religion rather than science, saying God will protect his country. It’s a refrain he has used before to suppress critics and walk back reproductive rights. Indeed, Magufuli has repeatedly relied on faith and fears of a Western devil to further entrench his increasingly authoritarian regime—replacing policy with a cult of personality. This time, however, his style of governance is likely costing thousands of Tanzanian lives

Read more : Africa’s COVID-19 Denialist-in-Chief
 
Tuzo kutoka TAG
 

Attachments

  • IMG_20210215_140142.jpg
    128.3 KB · Views: 1
Sasa, hapa hata wewe unawachongea TISS, JWTZ na Polisi kuwa wote wameshindwa kulinda mipaka yetu.

Kuwa, tuliowapa dhamana wameshindwa kutulinda?

Halafu, umetunza hadi leo masks zenye virus? Ulipozitumia ulipata maambukizi?
Yaani, sidhani mnatakiwa kuweka “mazingira magumu” hapana - nashauri msifanye kazi katika isolation.

Mtaonekana kuwa Serikali KATILI au KOROFI au KANDAMIZI wakati ni rahisi sana kufanya hivi kwa kushirikiana na wadau. Stakeholders washirikishwe na serikali ifanye kazi ya ku-oversee.

Kingine: Watanzania hawana chuki, wanaona kuna jambo haliko sawa ndo maana wanatoa maoni haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…