Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

Chanika hadi leo ukiwa na 1.5mill unapata kiwanja
 
Hili huenda watu hawalijui kwa undani zaidi,iko hivi

Kiutawala Jiji lilikuwa limegawanyika katika Halmashauri sita za Serikali za mitaa ambazo ni:

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo na
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni

SASA Ukiangalia hapo juu kulikuwa kuna chombo tu kinaitwa HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM Lakini chombo hicho hakikuwa na eneo rasmi LA kiutawala kwa maana nyingine halmashuri ya jiji haina ARDHI inayoitawala ,kwa maana hiyo inategemea vyanzo vya mapato kutoka halmashauri za manispaa .

Chombo hiki yaani HALMASHAURI YA JIJI ilikuwa ina Meya wake na baraza lake huku halina vyanzo vya mapato , LAKINI WALITENGA BAJETI ....SASA SWALI UNAPEWAJE BAJETI HUKU MIRADI INAWEZA KUHUDUMIWA NA MANISPAA ZENYEWE ? Hivyo kulikuwa na matumizi mabaya ya pesa kwa kuwa ni kama unampa MTU pesa hana matumizi .

SASA kilichofanyika nikuvua KOFIA ya HALMASHAURI YA JIJI na kuipa ILALA...
Na manispaa za KIGAMBONI ,KINONDONI ,UBUNGO ,TEMEKE Zitabaki kama manispaa ...
 
Hizi sarakasi ngoja tuone mwisho wake, Chanika ni Jiji, Mwenge, mikocheni, Masaki, Oysterbay ni Manispaa!

Hii move ina malengo fulani ya hovyo sana lakini mahesabu yake wameyakosea mno!
Upuuzi huu. watoto wa kiume hawawi wambea hivi. Tuna mashaka na wewee.
 
Kwa walivyo waswahili hizo retention ponds watazitumia kutupa taka vinginevyo yafanyike yafuatayo
  • maboresho yakikamilika kutolewe elimu kwa wananchi wote juu ya matumizi sahihi ya hiyo miundombinu
  • kuwekwe sheria kali
  • Kuwekwe camera za ulinzi
 
Hizi sarakasi ngoja tuone mwisho wake, Chanika ni Jiji, Mwenge, mikocheni, Masaki, Oysterbay ni Manispaa!

Hii move ina malengo fulani ya hovyo sana lakini mahesabu yake wameyakosea mno!
Machadema ni kupinga kila kitu. Nyumbu pingapinga Fc hovyo kabisa.
 
Haya ndiyo wengi tumekuwa hatuajui

Ila bado inachanganya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…