Chanika hadi leo ukiwa na 1.5mill unapata kiwanjaYaani Mkazi wa Osterbay, Masaki, Mikocheni na Mbezi Beach wanaishi Manispaa wakati wakazi wa Ulongoni, Gongolamboto, Buguruni kwa Mnyamani, Chanika wako Jiji la Dar😃😃 Tutaelewana tu hata kama itachukua muda ila mwishoni tutaelewana.
Mikumi Sasa siyo Mitano tena.