EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Wazo zuri saana ndio maana mkoa wa pwani haukui kwakuwa unamezwa na DarHabari wadau , naona mji wa kibaha umeingiliwa na dar , watu wengi wanafanya kazi dar , wanaishi kibaha na miwili moja , kwanini isirudishwe dar es salaam , halafu chalinze iwe makao makuu ya nkoa wa Pwani