Hivi umewahi pitia hoja za kuhamishwa mji mkuu kwenda Dodoma za wakati huo?
It's extremely foolish to raise them now. People will laugh you off.
The main premise behind the move to Dodoma was the implementation of the Ujamaa policies.
It's informative even to review the original plans for the city of Dodoma by the contracted Canadian firm.
Dodoma was designed to be a big Ujamaa village. It's remarkable.
There is absolutely no reason for moving to Dodoma today apart from the fact that one can.
Atakuja mwingine. Na yeye ataweza. It will be interesting to see if the decision can survive.
Sasa, baada ya Jiwe/Senzo kuupata urais kwa ngekewa, maana alikuwa anajaribisha sasa kimbunga cha JK kumsaliti mwandani wake Lowassa ambao walikuwa wamekubaliana kuachiana urais, basi jiwe alishinda na alikuwa hajajindaa kuwa raisi.
aliposhinda tu, aliingia ikulu na ilikuwa hakukaliki, inasemekana DAB-DAUDI ALBERT BASHITE alifanya mawasiliano na "Gambosh" wa huko Itilima, na Simiyu na Sumbawanga, wakaja kuagua na kuzindika upya, jiwe ndio akaweza kulala maana mwanzo alikuwa anajikuta baharini, baada ya hapo akaona bora kujihamishi Dodoma, akalazimisha na watu wengine waende huk0.
Sasa, Shetani ni mwongonna ni baba wa huo, huenda nako dodoma kumezindikwa, maana kama ziara ya kusini alikuwa anazunguka na ma-gamboshi ndio wanafungua mikutanonkwa sala, itashindikana kuwa wao ndio wamezindika nyumba nyeupe ya Dodoma? no one knows, tunahisi tu.
Je, unajua sababu ya Bashite kutofukuzwa pamoja na kufanya ujinga kuliko viongozi wote waliopata kutokea?