Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Mbarawa kakataliwa kwao Tanga lakini bado anapeta kinoma.
 
Huyu mama alianza kulalamikiwa tangu miaka ya 80,ni mmoja ya viumbe wa hovyo sana hapa tanganyika
 
huyu mama anachukia waislam balaaa
wacha uongo. watu wanafeli halafu wanakimbilia udini. hapa tz ukichukia waislaam au wakristo utaishije wakati ndio wenye nchi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…