Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Jamaa yenu wa kaskazini muungeni mkono.Kiufupi kati ya wizara alizokosea magufuli ni maghembe hii ni.kutokana na upande wa kaskazini kukosa wabunge wa ccm na kulikua amna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yenu wa kaskazini muungeni mkono.Kiufupi kati ya wizara alizokosea magufuli ni maghembe hii ni.kutokana na upande wa kaskazini kukosa wabunge wa ccm na kulikua amna namna
Thibitisha hili pleasehuyu mama anachukia waislam balaaa
Sasa kulikuwa na haraka gani kama huna habari kamili
Tupeni cv ya huyu mama wengibe tunamsikia tu.
Unataka ushahidi gani mtu mpaka alifukuzwa baada ya kubainika mbinu zake za kuwafelisha waislam. Maajabu ni kwamba bin Adam hawezi kubana mipango ya mwenyezi mungu.
Unataka ushahidi gani mtu mpaka alifukuzwa baada ya kubainika mbinu zake za kuwafelisha waislam. Maajabu ni kwamba bin Adam hawezi kubana mipango ya mwenyezi mungu.
Before alikua wapi huyo Maghembe
Umesahau kilitokea nini kwenye lile somo na ilivyostukiwa wakaomba radhi?
Ndalichako aache kuleta uroma na udini uliopindukia wizarani,vinginevyo anataaluma nzuri.
Jicho la Waislaam linamfuatilia hasa kipindi hiki ambacho Ponda Issa Ponda yupo huru.