Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

tkitu kilichomuondoa Joyce Ndalichako ni kuwa hakuwatendea haki vijana wa kiislamu katka somo la Islamic knowledge.

tujikumbushe

BARAZA la Waislamu Tanzania (Bakwata)
limemtaka Katibu Mtendaji wa Baraza la
Mitihani (Necta), Dk Joyce Ndalichako
kujiuzulu wadhifa huo akimtuhumu
kuwafelisha mitihani ya dini ya Kiislamu
wanafunzi wa kidato cha sita wa dini hiyo.
Kauli hiyo ya Bakwata imetolewa na Mufti
wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban
Simba katika mkutano wake na waandishi
wa habari jijini Tanga jana kuelezea
msimamo wa Waislamu nchini kuhusu
matokeo ya kidato cha sita, hujuma
inayoandaliwa kufanyika katika zoezi la
sensa pamoja na vurugu zilizotokea
Zanzibar.
Kuhusu hujuma ya mtihani, Mufti Simba
alisema kuwa matokeo ya mtihani ya dini
hiyo ya Kidato cha Sita yaliyotangazwa Mei
Mosi 2012, yaliwashtua wanafunzi Waislamu
waliofanya mtihani wa elimu ya dini ya
kiislamu (Islamic Knowledge), ambayo
yalionyesha kuwa asilimia 70 walifeli kwa
kupata daraja F.
Alisema matokeo hayo yalionyesha kuwa ni
asilimia 30 ndiyo waliofaulu kwa kupata
daraja D, ambapo waliopata alama za juu
kabisa nchi nzima ni wanafunzi saba
pekee.?Matokeo haya yaliwashtua wanafunzi
na wazazi, taasisi mbalimbali za kiislamu
zilimua kukata rufaa kuonyesha
kutokubaliana na matokeo hayo, hatimaye
baraza hilo
likabaini kuwa lilikosea na likaidhinisha
kutolewa matokeo
mapya,? alisema Mufti Simba.
Tayari Ndalichako ametoa ufafanuzi kuwa
kosa lililotokea akisema si hujuma bali ni la
kiufundi lililotokana na kubadili utaratibu wa
kufanya mitihani mitatu ya somo hilo kuwa
miwili, lakini mfumo wa ujumlishaji maksi
ulisahaulika kubadilishwa.
Ndalichako alilieleza gazeti dada la
Mwananchi, The Citizen, kuwa awali
matokeo ya mitihani mitatu yalikuwa
yanajumlishwa na kugawanywa kwa tatu
kwa kutumia mfumo wa kompyuta, ili kupata
alama rasmi za mtahiniwa, lakini safari hii
zilipojumlishwa alama za mitihani miwili ya
somo hilo ziliendelea kugawanywa kwa tatu
badala ya mbili kimakosa.

magufuli naona unafanya mambo bila tahadhari ya. kuamsha hisia zilizolala

argue don't shout
 
KWanini Rais wetu JPM amemwamisha Waziri Mbarawa kutoka Wizara ya Maji mpaka Uchukuzi ndani ya muda mfupi toka amteue?

Hii ina maana gani? Ndio tuseme JPM alikurupuka na hakujipanga wakati anamteua?
 
Unataka ushahidi gani mtu mpaka alifukuzwa baada ya kubainika mbinu zake za kuwafelisha waislam. Maajabu ni kwamba bin Adam hawezi kubana mipango ya mwenyezi mungu.

Kama huna point ni bora kunyamaza bro!! Ndalichako hakuwahi kufukuzwa, alienda sabbatical leave
 
Afadhali Li-Ridhiwani kikwete halijachaguliwaaaaaaaa
 
Unataka ushahidi gani mtu mpaka alifukuzwa baada ya kubainika mbinu zake za kuwafelisha waislam. Maajabu ni kwamba bin Adam hawezi kubana mipango ya mwenyezi mungu.

Ni lini waislamu wamewahi kufaulu mitihani? Ninyi si mnakremu kiarabu feki cha kruani ? Endeleeni wenzenu wanatusua. Mtabakia kulalama na udini kusoma hamsomi.. Angalia orodha iliyotua kwa JPM ya wauza unga. Kisha nipe jibu kwann waislamu?
 
Oohh atleast wizara ya elimu imepata mtu makini...... Sasa Joy tuonyeshe uwezo wako...... I believe in u
 
Before alikua wapi huyo Maghembe

Alikwa Elimu zama hizo akafuta mtihani wa kidato cha pili. Akapelekwa Maji akavurunda. Bila ya kupepesa macho, hakuna kitu. Magufuli ataboronga kwa kuwaalika 'waliozima' kumsaidia.
Wale jamaa waliokuwa wakisema "tatizo ni mfumo" wamepata kick ya kuanzia.
 
Unapocheza mchezo wa drafti wakati mwingine mpinzani wako anaweza kutumia muda mwingi mpaka dakika 5 ametulia anafikiria kwa sababu ya sheria ya gusa mara moja "One touch". Unaweza kukahisi atakapocheza atacheza kete makini sana kwa sababu ya muda anaotumia kufikiria, kumbe atakapocheza (gusa tu) anapigwa tu - tu - sa, ( kete mbaya) kuliko na kufungwa papo hapo!!!!
 
Ndalichako aache kuleta uroma na udini uliopindukia wizarani,vinginevyo anataaluma nzuri.

Jicho la Waislaam linamfuatilia hasa kipindi hiki ambacho Ponda Issa Ponda yupo huru.

Hilo jicho mbona halikumfuatilia ponda wkt yuko Gerezani
 
Ahsante kwa Ndalichako. Aanze na necta, akafurumushe wote.
 
Back
Top Bottom