Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Mawazir wa jpm ni wawil tu!Augostino Mahiga na Joyce Ndalichako.jpm ajitathimin kwa utez wake huu.
 
Bora hii Wizara ingebaki bila Waziri kuliko Maghembe.

Hela za Wizara ya Maji alipeleka kwenye kampeni.

JP amebugi! Japo kwa desturi zetu, kiongozi mkuu hakosolewi, anashauriwa tu.
 
Mi nadhani ingebidi tu kilimanjaro nayo iingie barazani kama sikosei ndo mbunge pekee anayetoka ukanda huo atafanyeje sasa.

Mkuu kwenye uteuzi huwa haiangaliwi kikanda Tuu Na Dini Pia,Ili ku balance huwa kuna jina lake wanaita wataalam.sasa yeye kabahatika Kofia2 Ukanda Na Dini ili kubalance mzani...hawaangalii Elimu Au uchapakazi tuu,wanaangalia Geographical location ya Nchi...yaani uwakilishi Na Dini Pia...
 
Hapo kwa Maghembe wengi wetu lazima tugune.Tena kapewa wizara nyeti!Duh! Tuna safari ndefu mno.
 
HAPO KWA NDALICHAKO president kapata.Hongera mama unaaminika!
 
Eti magembe amepewa maliasili!!! JPM imekuaje tena hapa umeenda chaka kabisa ....au umekosea

Sisi Wananchi wake tumesikitika sana kwa Mbunge wetu kupewa Uwaziri.

Tunatambua kuwa hana uwezo... Hata ubunge ameupata kiujanja ujanja
 
Joyce Ndalichako, alikuwa katibu wa baraza la mitihani. Alishutumiwa na Waislamu kuwafelisha.

Nikiwa mwandishi wa habari za uchunguzi nililifuatilia suala hili na kulithibitisha.

Utetezi wake haukuwa na mashiko hata chembe.
Malalamiko ya Waislamu yalisababisha Rais Kikwete kumuondoa barazani.

Lakini leo hii Dk. John Pombe Magufuli amemteua kuwa Waziri wa Elimu. Tena kwanza amemteua kuwa mbunge kisha ndio kampa uwaziri.

Kuna wakati namuelewa Rais Magifuli lakini wakati mwingi napata shida kumuelewa.

Kuwapa uwaziri wenye tuhuma na wengine walioondolewa madarakani kuwarudisha mapata shida kidogo. Sijui dharau kwa Wananchi au haamini kama wanamakosa.

Mpaka sasa Rais ameshateua watu zaidi ya wanne kuwa wabunge na kuwapa uwaziri, sasa sijui wabunge alionao kwenye ccm hawaamini au laa.

Ngoja niendelee kusubiri labda nitamuelewa.

Mwandishi Mwanahalisi.
 
Mi nadhani ingebidi tu kilimanjaro nayo iingie barazani kama sikosei ndo mbunge pekee anayetoka ukanda huo atafanyeje sasa.

Wapo wapare 2... Hon Prof Magembe na Hon David Mathayo wa Same Maghrb.
 
Duuh! Kweli mkuu. Huyu mama hatokuwa na nguvu ya kimadaraka kuiboresha ELIMU kwa mfumo uliopo.
Lakini namna bora zaidi ni kuhamishia wizara ya elimu masuala yote yaliyoko tamisemi yahusuyo ELIMU. Hii haitasumbua mawaziri kuwabadilisha badilisha.
Kwa pendekezo la Kagasheki nakubaliana nawe maana huyu jamaa alikosa ushirikiano toka kwa Mzee wa msoga akachafuliwa na majangili akaonekana hafai.
 
Joyce Ndalichako, alikuwa katibu wa baraza la mitihani. Alishutumiwa na Waislamu kuwafelisha.

Nikiwa mwandishi wa habari za uchunguzi nililifuatilia suala hili na kulithibitisha.

Utetezi wake haukuwa na mashiko hata chembe.
Malalamiko ya Waislamu yalisababisha Rais Kikwete kumuondoa barazani.

Lakini leo hii Dk. John Pombe Magufuli amemteua kuwa Waziri wa Elimu. Tena kwanza amemteua kuwa mbunge kisha ndio kampa uwaziri.

Kuna wakati namuelewa Rais Magifuli lakini wakati mwingi napata shida kumuelewa.

Kuwapa uwaziri wenye tuhuma na wengine walioondolewa madarakani kuwarudisha mapata shida kidogo. Sijui dharau kwa Wananchi au haamini kama wanamakosa.

Mpaka sasa Rais ameshateua watu zaidi ya wanne kuwa wabunge na kuwapa uwaziri, sasa sijui wabunge alionao kwenye ccm hawaamini au laa.

Ngoja niendelee kusubiri labda nitamuelewa.

Mwandishi Mwanahalisi.
 
kama Maghembe kateuliwa kwa kuwa anatoka nothern bora ukanda huo asingetoka waziri.

Bora angempa Kagasheki.
 
Maghembe tena au mh alikuwa ndotoni waziri mzigo apewa wizara only in tz
 
Profesa Jumanne Maghembe, wapo wawili au ni yule yule alikuwa wizara ya maji awamu iliyopita?
 
tuhuma za kipuuzi dhidi ya NDALICHAKO zisipewe nafasi .
 
hivi ni mpare huyo prof?
Ndiyo,hakukuwa na jinsi maana Kilimanjaro walishaanza kuchonga.Hivi Raisi kabakiwa na nafasi ngapi sasa wa kuteuwa wabunge?Ila huyu Maghembe sidhani kama atadumu pale maliasili na utalii
 
Inaonekana Prof.Maghembe alipiga magoti na kutubu mbele ya rais. Mpeni chance tena labda amebadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…