Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hii Wizara ingebaki bila Waziri kuliko Maghembe.
Hela za Wizara ya Maji alipeleka kwenye kampeni.
Mi nadhani ingebidi tu kilimanjaro nayo iingie barazani kama sikosei ndo mbunge pekee anayetoka ukanda huo atafanyeje sasa.
Eti magembe amepewa maliasili!!! JPM imekuaje tena hapa umeenda chaka kabisa ....au umekosea
Mi nadhani ingebidi tu kilimanjaro nayo iingie barazani kama sikosei ndo mbunge pekee anayetoka ukanda huo atafanyeje sasa.
Wapo wapare 2... Hon Prof Magembe na Hon David Mathayo wa Same Maghrb.
Mawazir wa jpm ni wawil tu!Augostino Mahiga na Joyce Ndalichako.jpm ajitathimin kwa utez wake huu.
Ndiyo,hakukuwa na jinsi maana Kilimanjaro walishaanza kuchonga.Hivi Raisi kabakiwa na nafasi ngapi sasa wa kuteuwa wabunge?Ila huyu Maghembe sidhani kama atadumu pale maliasili na utaliihivi ni mpare huyo prof?