Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Kuna mwandishi mmoja alisema kuchagua mtu kutoka sehemu fulani ya nchi isiwe ishu katika utendaji kazi. Ila najiuliza kitu kimoja: Dkt. ndalichako anaelekea wizara ya Elimu ambako Kamishna wake ni Prof. Bhalalusesa. Hawa siyo tu nu marafiki waloshibana bali watoka kumoja (Kigoma), Je WATAWAJIBISHANA endapo utatokea utendaji kazi mbovu?
Naelewa kuwa Prof. Mpango atoka kigoma pia. huyu ni Gwiji katika uchumi.....
 
Dah furaha iliyoje Dkt Ndalichako kuteuliwa kuwa waziri wa elimu,Hapa elimu yetu itaimarika sana. No BRN
 
Hatimaye Kaskazini imetoa Mawaziri Wawili

1. Mhe. Jumanne Maghembe
2. Mhe. Angela Kairuki

Hongera Mhe. Rais Dr. JPM kwa KUJALI maeneo yote.

Queen Esther

Nadhani maneno maneno ya humu kuhusu kuwaacha watu wa kaskazini ndo yamepelekea Maghembe kuteuliwa, tatizo huyu Prof simuelewagi kabisa utendaji wake. Sidhani kama atamudu hiyo wizara
 
Ndaluchako mdini na hawapendi waislam.
 

wote watatu ni maprofesa? kumbe Kigoma nao wamo
 
Waislam mwaka huuu waelekee jiwe tuuuu


Kassim Majaliwa aliukana uislam na aka ritadi kwenda kwenye ukristu



Lukuvi anachukia waislam na wazanzibari na hakuficha kwenye video yake kanisani


Ndaluchako....nadhani mnajua skendo yake daudi ya waislam.

Lakini yoke haya tumejitakia wenyewe


Mkapa pamoja na ukatoliki wake alitufaaa zaidi kuliko JK


Allahu yaaa Allaaam
 
Nadhani maneno maneno ya humu kuhusu kuwaacha watu wa kaskazini ndo yamepelekea Maghembe kuteuliwa, tatizo huyu Prof simuelewagi kabisa utendaji wake. Sidhani kama atamudu hiyo wizara

Prof ni mmoja kati ya wale mawaziri mizigo..kama rais ameangalia ukanda basi bora angeacha huo ukanda bila waziri..
 
Niseme tu kwamba Dr.Philip Mpango Mungu kakuchagua Usibadilike ukawa kama wale,
Sikujui sana ila nakumbuka siku ulipotoa chozi baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa jumuiya ukimuuliza Mungu kwanini amewaongoza watu wakuchague wewe na si mwingine? Na je utamudu majukumu hayo kweli?

Nakumbuka ulivonza kwa kasi kama ya Mh.rais kuiongoza jumuiya ile mpaka ikafika hatua mapato yakaongezeka mara dufu, ndoa nyingi zikafungwa ukiwa msimamizi wa kujitolea na watu wengi wakabatizwa na ukaipa heshima kubwa jumuiya ile.
Sikujui sana ila nakumbuka mara ya kwanza kuingia ofisini kwako namna ulivonipokea na yote uliyoyafanya kabla ya ujio wangu ofisini kwako hakika u mtu wa watu sana.

Sikujui sana ila nakumbuka siku ile tulipokaa ofisini kwako kwa mara nyingine safari hii likiwa kundi la vijana yapata 20 na ulivotoa nasaha kama mzazi na jinsi ulivo na imani na vijana katika kulijenga taifa hakika ofisi yako ilikua mfano kwa kuwa na vijana wengi kabisa,
sikujui sana ila nakumbuka ile saluni ya 1500 unayoendaga kunyoa kwakweli sasa ningekusii angalau upande hadhi kidogo maana jirani na pale kuna ile saluni ya 2000 Tafadhali uwe unaenda pale sasa hivi

Na wale vijana inaotaniana nao pale kijiweni sasa angalau watakumiss
Mwisho nikutakie kila la kheri tanzania ya ndoto yako sasa unayo mokononi mwako yale uliyo tuambia siku ile tafadhali ukihitaji nikukumbushe ni PM naamini nitayakumbuka walau robo
 
Na mimi nina wasiwasi na Maghembe

Maghembe kawekwa kwa sababu za siasa kwani ni mbunge mmoja to wakuchaguliwa wa CCM kutoka Kilimanjaro. Ili CCM ionekane bado iko kwenye ramani mkoa huo na kwamba mkoa umetoa waziri. Au siyo alikuwa mtu wa kupigwa chini.
 
haya wale wenye majina ya ahmed,juma fatuma zaynab fatuma, maryam, yahya, aisha..... tumekwisha ndalichako huyoooooooo
 
MAJAALIWA MGALA
NDALUCHAKO HAPENDI WAISLAM
LUKUVI NAYE VIDEO KANISANI ANACHUKIA WAISLAM NA ZANZIBAR

Mwaka huu tumepatikana
 
huo ni mpango wa maandalizi ya bajeti ya kihistoria kuwahi kutokea in contemporary dayz
 
Hili ndilo baraza la mawaziri lililosubiriwa kwa hamu zaidi ya mwezi mpja! Wengingine inabidi tuweke maneno ya akiba.
Mmh! Prof Magembe na Majangili wa tembo kweli jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…