chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,118
Kuna mwandishi mmoja alisema kuchagua mtu kutoka sehemu fulani ya nchi isiwe ishu katika utendaji kazi. Ila najiuliza kitu kimoja: Dkt. ndalichako anaelekea wizara ya Elimu ambako Kamishna wake ni Prof. Bhalalusesa. Hawa siyo tu nu marafiki waloshibana bali watoka kumoja (Kigoma), Je WATAWAJIBISHANA endapo utatokea utendaji kazi mbovu?
Naelewa kuwa Prof. Mpango atoka kigoma pia. huyu ni Gwiji katika uchumi.....
Naelewa kuwa Prof. Mpango atoka kigoma pia. huyu ni Gwiji katika uchumi.....