Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara


Sera mbovu ikoje? Umeisoma sera hiyo mbovu?
 
Hivi kwanini wanawake kama wewe hufurahii mwanamke mwenzenu kapewa wizara kubwa hiyo?
 
uteuzi mzuri hasa alivombadilisha Prof.Makame Mbarawa kutoka maji na mumrudisha mawasiliano. Tsubiri kuona kazi sasa maana uteuzi pekee hautoshi
 
Katibu mkuu wa wizara ya elimu lazima ang'oke hataweza kwenda na kasi ya mama ndalichako. Huyu Dr Ndlichako atarudisha heshima ya elimu
 
Ndalichako aache kuleta uroma na udini uliopindukia wizarani,vinginevyo anataaluma nzuri.

Jicho la Waislaam linamfuatilia hasa kipindi hiki ambacho Ponda Issa Ponda yupo huru.

Nchi haiendeshwi kwa mihemuko ya Waislam.
 
Dr magufuli anamjua lwenge siku nyingi asingeweza kumuacha wizara ya ujenzi na uchukuzi.
 

Anzisha uzi wako...
 
mnafurahia kwa sababu yule mama ni mdini balaa, mnajua atakachowafanyia wanafunz wa kiislam

Watafeli kwa vipi tueleze kwani ye ndo msahihishaji mitihani. Mtu ana feli mwenyewe tuache tabia ya kubebana hasa kuelimu. Ukijaza vihiyo nchi itatawaliwa kuvihiyovihiyo na itaenda kivihiyo. Wanafunzi someni shule hatuendi kusoma dini.
 
David Mathayo hapana. Hawezi speed ya JPM. Yule waliposema ni waziri mzigo hawakukosea

Kwa kaskazini ccm ni Aggrey Mwanri peke yake. Very effective and efficient. Angemteua mbunge na waziri.
 
Hamna kitu kinaniuma kama divisheni 5,sitaisahau mpaka naenda kaburini.Mungu awape maisha marefu Dr. Kawambwa na prof. Mchome waone madudu yao waliotufanyia kwenye elimu.Hawa watu ilikuwa badala ya kuongeza ubora kwenye elimu yetu wao walikuwa wanang'ang'ania kubadilisha divisheni.
 
Rais Magu umenipa zawadi ya sikukuu kwa kumteua Dr. JOYCE kuwa waziri wa Elimu. Kati ya teuzi zote hapa umelamba dume. Naamini Elimu yetu sasa itatoka ICU

Amelamba dume au jike? Inamaana huyo mama amegeuka kuwa dume.
 
Atakuwa ametubu dhambi zake, maana ngazi aliachia mwenyewe. Ni heri ametubu kiukweli lakini kama ametubu kiuongo-uongo ataumbuka tu kama alivyoumbuka Lowassa.

Ametubu Kwa Nani? Kwa Magufuli, Shekh Simba, Waislamu, Allah, CCM,Jk Ama Yesu Kristo?. Double Standard!
 
Haya JF mmepewa Waziri mliyemlilia ....btw ni jembe haswa ...hongera dada Joyce
 
Uteuzi wa Maghembe Magufuli kachemka, huyu ni mmoja wa Mawaziri mizigo wa awamu ya 4, na kama alichemka Wizara ya Maji ataiweza Wizara ya Maliasili na Utalii yenye changamoto lukuki?
 
Atakuwa ametubu dhambi zake, maana ngazi aliachia mwenyewe. Ni heri iwe ametubu kiukweli lakini kama ametubu kiuongo-uongo ataumbuka tu kama alivyoumbuka Lowassa.

Hakuna cha kutubu, atubu kwa kosa gani?
 
Majini yanapigana vikumbo yakiongozwa na bidada FaizaFoxy Ndalichako huyoooooo uwaziri kamili! Ole yake majini yafeli tena lile somo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…