Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Nadhani maneno maneno ya humu kuhusu kuwaacha watu wa kaskazini ndo yamepelekea Maghembe kuteuliwa, tatizo huyu Prof simuelewagi kabisa utendaji wake. Sidhani kama atamudu hiyo wizara
Maghembe kawekwa kwa sababu za siasa kwani ni mbunge mmoja to wakuchaguliwa wa CCM kutoka Kilimanjaro. Ili CCM ionekane bado iko kwenye ramani mkoa huo na kwamba mkoa umetoa waziri. Au siyo alikuwa mtu wa kupigwa chini.
huyu mama ni mdini sana hafai
Nape ana weledi upi wa kuongoza wizara zaidi ya itikadi za lumumba
Nawe unao weledi upi wa kupima uwezo zaidi ya majungu!