Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maoni yangu hapa naona Magufuri amekosea. Magufuri alitakiwa kumtoa yule babu (Profesa Mchome) ambae alikuja kuisadia CCM ku-introduce Division V na badala yake nafasi yake ingechukuliwa na Ndalichako. Nafasi ya Katibu Mkuu ambayo ndiyo ya utendaji ndo ilikuwa bora zaidi kwa Ndalichako kuliko nafasi ya waziri ambayo ni ya kisiasa! And trust, wote mnaofurahia hivi sasa; huyu mama atakuja kuwaboa ndani ya mwaka mmoja tu... SAVE THE POST!
Lakini kwa upande mwingine, Magufuri anatakiwa kuwa makini sana na hizi nafasi zake 10 za wabunge manake ni mapema mno kuwa ameshateua takribani wabunge 5 au sita wakati hata miezi 3 bado! Hofu yangu ni kwamba, nafasi zake 10 zinaweza kwisha mapema halafu bado akatakiwa ku-outsource nje ya bunge ili kupata waziri pale waliopo watakaposhindwa kuendelea na nafasi zao kutokana na sababu moja au nyingine! Kwa kuchelea hilo, ndipo watendaji wazuri kama akina Ndalichako walitosha kabisa na kuwa na manufaa makubwa kuwateua kuwa makatibu wakuu kuliko kuwa waziri!
Yaani Magembe...?? Hapa Magufuli kachemka hadi basi...!!! Haki ya Mungu...!!
Prof. Magembe.. ni wa kumpa UWAZIRI...? this is a big joke
Atakuwa ametubu dhambi zake, maana ngazi aliachia mwenyewe. Ni heri ametubu kiukweli lakini kama ametubu kiuongo-uongo ataumbuka tu kama alivyoumbuka Lowassa.
Nimeisoma post yako ambayo umeijadili kwa kirefu zaidi ambayo ni kweli tupu na ndo hayo hayo ambayo, humu humu jamvini, hatimae tutaona hafai wakati Ndalichako ni mtendaji mzuri sana. Na endapo Mchome ataendelea kubaki kwenye nafasi yake ya ukatibu mkuu, hiyo itakuwa ni tatizo sana kwa Ndalichako. Yaani still namtamani huyu mama angekuwa katibu mkuu!Mdau umeona mbali sana,sikua nimesoma comment yako kabla sijacomment ila ulichoandika ndicho nilichotolea angalizo hapo juu,
Nakupa KONGOLE
