Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Kwa maoni yangu naona kubebana kwa alama za ajabu ajabu itakuwa mwisho. Maana products za elimu kwa kipindi hiki hazitabiliki
Kwa Ndalichako inawezekana akavuta na kuikaza kamba kama zamani.
 
Hivi kwanini lazaro hajapata wizara???najaribu kufikiria huyu lazaro alikuwa na kama hali ya kutokuwa sawa na katibu mkuu wa chama chake..yule lissu aliyetuambia ni jangili namba moja..hii haileti picha kwamba lazaro alikuwa anaminya maslahi ya katibu mkuu huyo😯najaribu kuwaza tu!!
 
Acheni kulishana hofu buana.....kama Mgimwa alikufa kwahiyo na mpango atakufa.....kwanini wabongo mnakua negative hivyo?????
 
Ni bora Simba wakali mia moja walioko Nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani.
Kweli boss kaamua kummwaga nanihii jumla jumla. Na vipi ile hotel yake walishaipiga chini????
 
Mtoa maada uliitoa wapi hii!!? Naona ITV wameitangaza pia

Kuna waleta uzi wenye aidha ndugu ama wajamaa huo ikulu hivyo tusiwe wepesi kuwatupia mawe haraka wanapoleta nyeti flaniflani hivi. Kama huyu kamanda, anastahili pongezi sana badala ya kumuuliza katoa wapi. Mara nyingi lisemwalo lipo sana tu na kama halipo basi laja maana tetesi ndo kama hivi tena.
 
karibu kazini tena mh joyce ndalichako,watakukubali tu.
 
Mpango anaweza kuwa alifanya vizuri kwa kuwa wakati anakabidhiwa kulikuwa na hali ya fukuza fukuza,we unadhani ingelikuwa ni kipindi cha JK ungeyaona haya? Mi nadhani tumpe muda mtu hapimwi ubora wa kuongoza nchi kwa mwezi mmoja

Yote kwa yote nimpongeze tu kwa hayo machache aloyafanya!!
 
Mawazo yako hayatakusaidia kamwe. Huwezi kuendelea kwa kuendekeza udini.

Hivi nyie mna laana? Wagalatia kila siku mnamsema Dr dau wa nssf kuwa ni mdini leo waislam wakisema ndali ni mdini mnakuwa wakali! Enyi wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaroga?
 
Awali ya yote tunatuma pongezi kwa Mheshimiwa Rais Magufuli kutokana na uteuzi mzuri wa mawaziri katika wizara nyeti (Fedha na Mipango, na Elimu) wateule wote wakiwa ni wenyeji wa mkoa wa Kigoma. Pasipo kupepesa macho, wanakigoma tumeupokea uteuzi huu kwa mikono miwili, tutazidi kukipa kura za kutosha CCM.
 
Back
Top Bottom