Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi we Tahmed zimeacha kuungua?uchambuzi wa mpira unamfaa zaidi kuliko urais
Kwa akili zakouchambuzi wa mpira unamfaa zaidi kuliko urais
Alipokua shule alikua golikipa,maana yake hakuweza kucheza ndani,mpira kaujuaje!?uchambuzi wa mpira unamfaa zaidi kuliko urais
hahahauchambuzi wa mpira unamfaa zaidi kuliko urais
kuna brand mpya tahmeed scania two by one, ikiwa na mashine za kisasa zaidi kwa afrika mashariki ndio scania latest engine.ziko 14Vipi we Tahmed zimeacha kuungua?
punguza jazba basiKwa akili zako
Powa sanakuna brand mpya tahmeed scania two by one, ikiwa na mashine za kisasa zaidi kwa afrika mashariki ndio scania latest engine.ziko 14
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]uchambuzi wa mpira unamfaa zaidi kuliko urais
Kwani Golikipa anakuwa nje?Alipokua shule alikua golikipa,maana yake hakuweza kucheza ndani,mpira kaujuaje!?
Acha kumdhalilisha Raisi wetu mkuu. huyu ni Raisi Bora sana Mapungufu ni ya kawaida.uchambuzi wa mpira unamfaa zaidi kuliko urais