Rais Magufuli akerwa na mpira walioonyesha Simba, asema hadhani kama watafua dafu klabu bingwa Afrika

Rais Magufuli akerwa na mpira walioonyesha Simba, asema hadhani kama watafua dafu klabu bingwa Afrika

Naomba kumnukuu Mh Rais JPM '..... 'Nimewaheshimu nimekuja hapa×2 kuwapa kombe la ushindi wa Tanzania, basi huu usiwe mwisho wenu, ninawaomba sana mkabadilishe mchezo, mpira wa leo niliouona hamuwezi mkachukua kombe la Afrika. Ni lazima niwaambie ukweli, kwa mpira wa leo niliouona mkienda kwa speed hii hamuwezi mkachukua kombe la Afrika......' hayo ni baadhi ya maneno ya Mh Rais wetu kwa wana Simba, siku ya leo Jmosi, 19 May, 2018.
 
Back
Top Bottom