Hv huyu bwana mkubwa alitangaza KUAMIA ikulu ya Dodoma kutoka Dar es salaam AU ikulu ya Dar es salaam kutoka Dodoma..?
Maana me sielewielewi guys.
Zitto karibu huku ushuhudie wanasiasa nguli wanaojua siasa. Wenzako matatizo ya nchi wanakaa chini na kuzungumza, wewe unaenda ugenini kuzungumza halafu unajiona mwamba wa siasa. Rudi darasani ukajifunze uzalendo.
Hahahaaaa kweli aisee, hata hakuna cha DomKama kaamishia Hifadhi ndogo magogoni unazani Kuna cha Dodoma hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunamhitaji CCM
Kweli kabisaBaba alisema, kamwe usije ukamuamini mwana siasa
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo
Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.View attachment 1375351
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu Yao sasa sio mchezo mwendo wa Miguu tu Saivi
Dodoma nyingine ipo pale karibu na feri magogoni, usishangae sanaHv huyu bwana mkubwa alitangaza KUHAMIA ikulu ya Dodoma kutoka Dar es salaam AU ikulu ya Dar es salaam kutoka Dodoma..?
Maana me sielewielewi guys.
huyu nae tayari bado mbowe na lissu na wewe hapoMungu wabariki Wazungu
Sijaona ulipokemea matusi ya Magufuli kwa Wapinzani au wewe huwa huyasikii?Hongera sana Kwa Rais wetu mpendwa JPM Kwa kuonyesha Upendo Na umoja Kwa viongozi wa vyama vingine, hiyo ndio siasa safi tunayo itaka siasa sio uadui, sisi wananchi tunahitaji kuona siasa ya maendeleo sio matusi au ugonvi,
Viongozi wengine wa kisiasa waige mfano huu wa Maalim Seifu na hata Mbatia.
Tanzania ni nchi yetu sote tuijenge Kwa pamoja bila kubomoa.
Mungu Ibariki Nchi yetu Tanzania
Kwa hiyo hapo wanakwepa Corona bin Covid-19?