Mbowe aliandika barua ya kukutana naye kabla hata ya Maalim Seif.huyu nae tayari bado mbowe na lissu na wewe hapo
Hapo Lipumba atakuwa kachukia sana moyoni
Kuna chadema hapo!!!Si alisema ataenda kushitaki ICC kwamba uchaguzi wa Zanzibar umevurugwa?
Leo tena anasalimiana na rais kwa mbwembwe za miguu?
Tuamini lipi sasa sisi wana mabadiliko?
Kweli chadema majanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
hiviii.. huyu MEKO si ndie alimsema SHEN kwa kitendo cha MAALIM kutompa mkono wa SALAM akasema angekuwa yeye angefuta huduma zote kwa MAALIM..!!!!
leo sasa badala ya kuacha kutoa mkono MAALIM kaamua kutoa MGUU kama salam na MEKO bila hiyana kapokea [emoji1787] [emoji111][emoji23][emoji23]π
Kama vile nataka kukuelewa kwa mbali!
Hivi Maalim alishahamia chadems?Si alisema ataenda kushitaki ICC kwamba uchaguzi wa Zanzibar umevurugwa?
Leo tena anasalimiana na rais kwa mbwembwe za miguu?
Tuamini lipi sasa sisi wana mabadiliko?
Kweli chadema majanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado kunamatengenezo mkubwa, hasa Nyumba ya kukaa Rais. WalibomoaKuuliza si ujinga. Hivi serikali pamoja na mkuu wa nchi wapo Dodoma au Dar es Salaam? Mbona kama shughuli zote za ofisi ya rais huratibiwa Dar es Salaam?
Hizi tunaita PR stunts!Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
My take,hizi ndo siasa safi.
=====
View attachment 1375376
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.
View attachment 1375374
View attachment 1375373
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375375
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375350
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375372
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kwa Maalim sina wasiwasi... hata Mwalimu alimjua fika si mtu wa kushinda chama A, kula chama B na kulala chama C hapana.Ni swala la sekunde kadhaa, mtu kuunga mkono juhudi.
aendenao wapi ebu fanya kama unajikuna vileKuna mtu atakuja aseme bora maalim seif angepita na huo mguu Mazima mazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa hubadilika, kama ambavyo umri humbadilika mtu na kuwa na msimamo tofauti na ya umri flani.Kwa Maalim sina wasiwasi... hata Mwalimu alimjua fika si mtu wa kushinda chama A, kula chama B na kulala chama C hapana.
Wapo wataalam wa fani hii.
HADAA ZA UCHAGUZI MIAKA YOTE HAKUONA UMUHIMU WA MAALIM ILA 2020? HATUDANGANYIKIZitto karibu huku ushuhudie wanasiasa nguli wanaojua siasa. Wenzako matatizo ya nchi wanakaa chini na kuzungumza, wewe unaenda ugenini kuzungumza halafu unajiona mwamba wa siasa. Rudi darasani ukajifunze uzalendo.
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
My take,hizi ndo siasa safi.
=====
View attachment 1375373
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375350
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.
View attachment 1375372
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375387
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375390
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Picha na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375391
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375395
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu Zitto yule ni state agent tu ila sema watu hatuja mstukia