Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Chama dume kimeshawanunua wote, upinzani kwaheri au utazuka upinzani mpya sijui
 
Time huru ipi wakati tuna yo kwa mujibu wa katiba ya.nchi yetu?,au tume ya mabeberu?,
Kutaka tume huru ya uchaguzi ndio kukaa kishari shari? Ni hivi, bila tume huru ya uchaguzi hatuko tayari kushiriki huo uhuni.
 
Kuuliza si ujinga. Hivi serikali pamoja na mkuu wa nchi wapo Dodoma au Dar es Salaam? Mbona kama shughuli zote za ofisi ya rais huratibiwa Dar es Salaam?
Haa😁😂😀😄😅
Umetumwa Wewe Siyo Bure
 
Ni hivi tunataka tume huru ya uchaguzi, hayo mazungumzo yalenge hapo tu na sio kinyume chake.
Tume huru ya nini wakati tuko huru, leo wenyeviti wa vyama makini wamekutana ikulu kupanga mikakati ya uchaguzi huru na wa haki tayari wameelewana wewe subiri mrejesho kutoka kwa mwenyekiti wako
 
Kutaka tume huru ya uchaguzi ndio kukaa kishari shari? Ni hivi, bila tume huru ya uchaguzi hatuko tayari kushiriki huo uhuni.
[emoji3][emoji3]Imebidi nicheke tu!
Hamko tayari wewe na nani mkuu?
Ni hivi wewe ni kidagaa tu mbele ya Mbowe, Lema, Mdee, Lisu na kina Msigwa. Yani wanachoamua hao ninyi mnafuataga tu kama upepo.

Nikuulize juhudi zako zote za kumpinga Mbowe kuwa mwenyekiti chadema zimezaa matunda yeyote?

Sasa kwenye uchaguzi huu, na tume hii hii ninyi wapinzani kwa kauli moja mkiongozwa na kina Mbowe mtashiriki bila wasiwasi.

Sasa unaposema hamshiriki sijui unamaanisha wewe na nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ndio anampiga teke Maalim hadi karibia aanguke.

Huyu jamaa ni katili sana halafu anauso wa mbuzi
 
Elimu kwa wafuasi wa chadema ni muhimu,badala ya kudai katiba mpya ambayo ndo itakuja na tume huru wao wanadai tume huru sijui itoke wapi wakati katiba haiitambui hiyo tume
Time huru ipi wakati tuna yo kwa mujibu wa katiba ya.nchi yetu?,au tume ya mabeberu?,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hakumuita Mbowe...!?
 
Hivi hao alioonana ni vyama vya upinzani Tanzania eenh? Ni kipi kati yao ni chama kikuu cha upinzani?

Me sielewagi pale wanapilokutana na vibaraka wao huku wakitaka kuuaminisha uma kuwa wamekutana na upinzani, huu uhuni. Akutane na chama kikuu cha upinzani tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unafikiri wasipotoa senti.zao uchaguzi haufanyiki?,unajidanganya ,serikali na bunge lijalo la bajeti hupanga na kupitisha bajeti ya uchaguzi mkuu,ni takwa la kikatiba,kalagha bhaho!
Tunajaribu Kuimpress Mabeberu Ili Tupate Pesa Ya Uchaguzi.

Ila Watu Weusi Hatuna Akili Kabisa, Yaani Suala Ambalo Ni Kwa Faida Yetu Wenyewe Na Watoto Wetu, Kulifanya Mpaka TULAZIMISHWE NA WAZUNGU !!!
 
Hv huyu bwana mkubwa alitangaza KUHAMIA ikulu ya Dodoma kutoka Dar es salaam AU ikulu ya Dar es salaam kutoka Dodoma..?
Maana me sielewielewi guys.
Kahamia Dodoma au hajahamia, siyo muhimu sana. Jambo la muhimu kuliko yote amekutana na viongozi wa upinzani. Amekutana na watanzania wenzake, siyo maadui bali ni Watanzania.

Watengeneze mstakabali mzuri wa Taifa kwaajili ya manufaa ya Watanzania wote. Fikra tofauti siyo uadui. Mtu kutaka madaraka ya nchini mwake siyo kosa bali ni haki ya kikataiba.

Kama Rais amefikia hatua hii, kwa dhamira njema. Ni jambo jema na dalili nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…