Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Tume huru ya nini wakati tuko huru, leo wenyeviti wa vyama makini wamekutana ikulu kupanga mikakati ya uchaguzi huru na wa haki tayari wameelewana wewe subiri mrejesho kutoka kwa mwenyekiti wako
Namshangaa sana huyo jamaa eti bila tume huru hawako tayari kushiriki uchqguzi. Sijui hawako tayari yeye na nani sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapoteza muda tu. Huyo haamini katika siasa za upinzani.
 
Bams,
aya yako ya pili inanipa ugonjwa wa moyo,umesema ni haki ya kila mmoja wetu kugombea nafasi yeyeote ya uongozi nchini,nini kimemfika Mr.Membe baada ya kutaka kutumia haki hiyo?
 
luirhu,
Yeye mwenye dola ndiye aache kukanyaga katiba na kutesa wnzake kwa kesi uchwara kila kukicha. Shida ipo kwake. Hata Mbowe alimwambia kule Mwanza kwenye maadhimisho ya Uhuru. Acha kujitoa akili.Maalim Seif na Mbatia wana tatizo gani!? Unajaribu kujificha kwenye kivuli cha mchicha.
 
Safi sana kumbe alikutana Na viongozi wa vyama vya siasa karibu vyote isipokuwa chama kimoja ambacho inaonekana si CHA kisiasa,
Safi sana viongozi wazalendo wenye kuipenda nchi kwanza vyama badae
 
Tume huru ya nini wakati tuko huru, leo wenyeviti wa vyama makini wamekutana ikulu kupanga mikakati ya uchaguzi huru na wa haki tayari wameelewana wewe subiri mrejesho kutoka kwa mwenyekiti wako
Kumbe Maalim Seif ni Mwenyekiti Taifa wa chama cha ACT?
 
Safi sana kumbe alikutana Na viongozi wa vyama vya siasa karibu vyote isipokuwa chama kimoja ambacho inaonekana si CHA kisiasa,
Safi sana viongozi wazalendo wenye kuipenda nchi kwanza vyama badae
Ungefunga bakuli lako kuliko kulifungua na kuthibitisha upumbavu wako.
 
Eti akitane na chama kikuu,ili iweje? Chama kimepoteza madiwani 300 na wabunge almost 10 within three years bado unasema chama kikuu,bure kabisa,mwenye nguvu mpishe spite,CCM baba lao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuuliza si ujinga. Hivi serikali pamoja na mkuu wa nchi wapo Dodoma au Dar es Salaam? Mbona kama shughuli zote za ofisi ya rais huratibiwa Dar es Salaam?
Kwani tatizo lako nini?
Kujenga ikulu ya Rais si sawa na kujenga nyumba yako kimara kilungule
Rais alishahamia rasni,video zipo,wenyewe wamemwambia subiri kwanza,afanyaje?
 

Attachments

  • Screenshot_20200303_160950~2.jpeg
    65.2 KB · Views: 1
Kwahiyo ushauri wako ni upi? Kwa hiyo wewe ni muona mbali sana kuliko hapo maprofesa na PhD holders walioamua kuonana na raia? Bure kabisa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao maPHD mnaowaokota majalalani . Ondoa upuuzi wako hapa. Huyo haamini katika siasa za vyama vingi. Hizo sinema awawekee huko Lumumba muangalie wajinga nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…