Rais Magufuli aliiweza CCM baada ya kupunguzwa idadi ya Wajumbe wa Halmashauli Kuu

Rais Magufuli aliiweza CCM baada ya kupunguzwa idadi ya Wajumbe wa Halmashauli Kuu

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
651
Reaction score
2,246
Kwa wajanja tulielewa wazi kwamba baada tu ya idadi ya Wajumbe wa Halmashauli Kuu kupunguzwa na ilikuwa mwisho wa misuguano na mbwembwe za matabaka ndani ya CCM.

Rais Magufuli alicheza kete ya turufu hasa kwa wazo lile kulitekeleza na yampasa amshukuru sana aliye mpa lile wazo!

Kwa idadi ile ni vigumu mno kutokea uasi tena ndani ya CCM hata membe alikuwa anafurahisha genge tu kwa kujitapa eti anao uungwaji mkono na Wajumbe wa Halmashauli Kuu jambo ambalo si kweli!

Ni muda wako bwana mkubwa Rais Magufuli.

Hongera!
 
Ndio CCM hiyo

Pia Mzee Kinana kavujisha pepa leo

'… Uchaguzi huanzia zinapohesabiwa kura na kumalizika kwa kutangazwa matokeo…'

Uchaguz sio kampen wala kupiga kura

CC: Seif Sharif na Vifaranga wake kina Jussa
 
Back
Top Bottom