Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

Kwanini awe na kinyongo kiasi hicho wangapi kawatimua kwa makosa ya ajabu ajabu why awe Malecela always ??

Wasije wakamfanyia kitu kibaya tu
Anamuonea wivu! Alidhani Dk Malecela angemnyenyekea na kusuburi kuteuliwa tena kama wanavyofanya wanasiasa.
Alisahau kwamba taaluma ya Dk Mwele inakubalika kote duniani so hana haja kunyenyekea wanasiasa uchwara ili mkono uende kinywani
 
Why always kusema huyu dada? Kuna walakini? Alishamfukuza ameshapata kazi tena ya maana na ya kutambulika duniani. Mungu hamtupi mja wake. Kila siku ni kumsimanga Dr. Mwele tu kila kukicha Dr. Mwele. Men never naggy like this. Aibu.
 
Apande tu huko watanzania hatumhitaji magonjwa ya mlipuko waziri wa afya ndie mwenye dhamana yet akajiibukia tu na Zika yake hewa .Kuwa mtaalamu sio kuwa mwongo
Aende kuwaongopea wazungu
Kwakweli ninajivunia Dr Mwele, na sisi tunawatambia Wakenya na Wanigeria kuwa Kuna Mtanzania pale mmoja wa Madirector.
 
Anamuonea wivu! Alidhani Dk Malecela angemnyenyekea na kusuburi kuteuliwa tena kama wanavyofanya wanasiasa.
Alisahau kwamba taaluma ya Dk Mwele inakubalika kote duniani so hana haja kunyenyekea wanasiasa uchwara ili mkono uende kinywani
Amuonee wivu Nani muongo huyo WHO imejaza waongo ndio maana hata marekani imejitoa WHO Baada ya kugundua kuwa Ni taasisi iliyojaa waongo Kama huyo Mwele
 
Afu nilicho shangaa kwa mkuu kumtaja mtu kwa Kabila lake eti ‘Mgogo’ yaani namna ya kuwasilisha ya mzee baba kuna muda inakuwa kama ina tweza utu wa mtu, bora angesema hata cheo cha mtu alietolewa ktk hiyo nafasi, kama hataki kutaja jina la mtu husika
Mkuu baba yuko sahihi kutaja kabila yake.

Si mnaona jinsi mgogo yule alivyoshindwa kujimudu cheo cha pale mjengoni?

Hata kuamua juu ya nani awepo hajui kuangalia katiba, anasikiliza mkuu baba!!!
 
Wivu tu ujue. Tena wivu mkubwa. Wanaume huwa kawaida hatuwi na migubu kiasi hicho. Yaani kumsema tu bila aibu.
Naona hoja zimekukaukia.
Hata hivyo hujachelewa, enenda ukajisomee upate dondoo kidogo za psychology itakusaidia kupata uwezo wa kuchanganua mambo kwa hoja.
 
Ndio MUNGU hakumuacha.
Akapewa cheo cha Director general of the national institute for medical research.
Till now and then hakuna mwenye concrete evidence kuwa alikuwa anatumika.
Alitolewa tu ili mtu fulani afaidike kisiasa.
Kwani ZIKA kweli ilikuwepo? Au alipotika ikapotea au walipomtoa wakaidhibiti kimya kimya?
 
Rais ni mtu mkubwa sana na ana njia nyingi za kupata information kuliko sisi raia na kwa mantiki sitaki kuyapuuza matamshi ya Raisi ila nina maswali machache.

Je Mwele alikuwa anatangaza ugonjwa upya aua alikuwa anatoa findings za utafiti uliofanyika?(mwenye clip ya press conference ile atuwekee)

La pili, kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa kupata internationa job kama ya Mwele ni lazima serikali iridhie kama bado ana uraia wa Tanzania.Sijasikia Mwele kuukana Utanzania wake na maana yake ni kuwa ni raia wa Tanzania anayefanya kazi WHO. Kama hivyo ndivyo kwa nini serikali isondoe vetting yake kwa mtu "mbaya" kama huyu?

Je ni kutangaza kuhusu baadhi ya sampuli za damu kuna na dalili za virusi vya Zika ndizo zinampandisha hasira Mzee kila wakati au kuna jingine?(Mwele alikuwa mtia nia 2015)
 
Hii ilikuwa kama kumpiga chura teke ukizani umemuumiza makalio yake kumbe umemuongezea spidi ya kufika aendako.
Nadhan mshahara anaopata WHO kwa sasa ni mkubwa sana kuliko tule tusenti twa masimango from URT.
Walikuwapo huko UN akina tibaijuka lakini bado walikuja kula vijicenti vya mboga.
Chezea pesa wewe, huko aliko makato ya kodi si mchezo.
 
Back
Top Bottom