Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

Zika unaijuaa unaisikia mkuu!!
 
Rais Magufuli ni kiongozi wa mfano hakuna wa kumbabaisha!
 
Sawa basi...si alishamfukuza kazi...akaendelea na maisha yake ya nini anarudia rudia kwani kazi kaanza kumfukuza huyo?
Si ndio hiyo ishara ya Mabeberu kutumia wajinga, wapenda Rushwa, wenye Nia ya kuuza nchi, baada ya kushindwa jaribio lao na Dau la pesa Kwa huyo mjinga wakaona ni Bora wamwajiri Wao?
 
Kama alionewa ina maana alisema ukweli, sawali ni nani aliugua zika? Kuna mtu alikufa kwa zika??
Katika nchi ambayo rais anapinga upimaji na kufanya njama za kuondoa imani katika upimaji wa Covid-19, kwa njia zilizokosa weledi na utaalamu
1.Kupata data za kuaminika ni kazi ngumu. Siasa imetawala upatikanaji wa data.
2. Kupata majadiliano yaliyo na kina na muktadha wa kisomi ni vigumu.Ndiyo maana unakuta rais anapeleka mafenesi yaende kupimwa kwa kipimo ambacho hakijakusudiwa kupima mafenesi.
3.Tukikosa umakini, hata kupata Mwele Malecela alisema nini na Magufuli anasema alisema nini itakuwa ni jambo gumu.
Kwa mfano, unauliza nani aliugua Zika, wakati wataalam wa mambo ya afya wana miiko ya kazi ya kutotangaza ugonjwa wa mtu, mpaka mwenyewe akubali. Sasa kama mtu hataki kujitaja kaugua Zika, na wataalamu wanakatazwa kumtangaza, ukikosa jibu hapo maana yake ni nini?

Maana yake hakuna aliyeugua Zika?

Ukielewa nuances kama hizi ndiyo utajua haya mambo si mepesi na rahisi kama Magufuli anavyotaka kutuaminisha.
 
Zika unaijuaa unaisikia mkuu!!
Zika siijui bali naisikia tu.
Wataalamu walituambia kuwa Zika ni ugonjwa wa homa unaonezwa na mbu, ni vigumu kumuua mtu lakini unaweza kumuathiri mtoto aliyepo tumboni kiasi cha kuzaliwa na kichwa kidogo (ubongo mdogo na mtindio) ikiwa mama mjamzito atapata maambukizi ya Zika. Na sio wote watakaopata Zika watapata hayo madhara bali wajawazito wachache.

Hayo ndio kwa uchache niliyasikia kuhusu Zika, kama unajua zaidi nijulishe hapa. Niko JF kujifunza zaidi.
 
Tuliumizwa sana tu, mwana maapinduzi asiyejali makunyanzi amesema no haibiwi mtu.
Mnachezewa akili kisiasa tu.

Magufuki anajua mara zote njia rahisi kabisa ya kuungwa mkono na watu wengi masikini waliojaa ujinga ni kuwatengenezea figisu za uongonakweli za "us against them".

Yani hapo mtu anafurqhi kinazinazi hata kama maneno ya rais yanamuumiza.

Serikali ya Tqnzania imwmsomesha mtu mpaka kapata Ph.D, kwa gharama kubwa sana.

Mtu kafanya kazi kwa uadilifu, na hata kama kakosea kuna njia za kumrudisha kwenye mstari.

Hapana, kafukuzwa kama mbwa koko.

WHO wakasema hamadi kibindoni. Tunawatafuta watu wasomi kama hawa hawapatikani kirahisi.

Wakamchukua.

Sisi tunaendekeza figisu za kisiasa.

Tumeshindwa kupimq na kutangaza idadi za watu wenye Covid-19, sasa tunarejea historia ili kupoteza watu akili.

Ndicho kinachiendelea hapa.

Na Magufuli kafanikiwa.

Kwa sababu watu wengi wanamshangilia.
 
Umeambiwa na mkuu Maxence Melo kuwa kuandika kwa herufi kubwa ni kupiga kelele,sasa wewe waendelea tu,una matatizo!?
 
Rais wangu Magufuli nakukubali sana hasa ' Kiutendaji ' na ' Kiuthubutu ' pia lakini una tatizo la kupenda ' Kuropoka ' hovyo jitahidi mno ubadilike.
Nchi nyingine zina ina fahari kuwa na wananchi wao ambao wana fanya jazi za kimataifa. Rais wetu badala ya juona ni sifa yeye kila siku ni kulaumu vitu ambavyo hana uhakika navyo. Mimi binafsi najisikia fahari Dada huyu jufanya kazi WHO ni fahari kwa Tanzania na tuna takiwa kumfurahia ana peperusha bendera ya Tanzania. Tuache kashfa zisizo na tija
 
Nailed it!!!Hiki ndicho ninachokijua.Hakutangaza outbreak bali scientific findings
 
Kila ujinga wa mtu katika Taifa hili lazima lipate washabiki, Ni kweli ilitangazwa kuna ugonjwa wa Zika, je ni kweli ulikuwepo??
Umesoma uzi na kuuelewa bibie!? Kwa nini mnapenda kukurupuka?
Kweli nimegundua watoto mnaozaliwa kwenye mikesha ya mbio za mwenge mna matatizo.
Pole sana.
 
Kwani ZIKA kweli ilikuwepo? Au alipotika ikapotea au walipomtoa wakaidhibiti kimya kimya?
Alikuwa Director General wa NIMR.
Yeye ndio tuko field.. somehow either kulikuwapo na mgonjwa mmoja au wachache. It just mamlaka zetu zinasiri sana..hazikutaka afunue hilo.
That why wakamtoa wapambane nao kimya kimya. Kama wanavyofanya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…