Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

Roho ya visasi ni mateso sana namuonea huruma ukisamehe unatakiwa kufuta unapo bakinalo rohoni ni mateso kwako Mama wa watu keshaenda kuishi mbali nawewe bado unayeseka aibu
 
Safi sana Magufuli kumbe na wewe unajua kuwa Wagogo are the least intelligence creature on earth. Safi sana Mh. Rais kwa hotuba murua za kuunganisha taifa
 
Hakuna anayempa upinzani hata kidogo ,Sisi tumekariri hivyo na tunarudi nyuma kwa sababu hiyo.Hivi viwanda tulivyokuwa navyo vimefilisiwa na wenye upinzani na sisitena vingine vinaongonzwa na makada wattiifu wa wazalendo wa CCM .Mimi huwa anawaambia watoto wangu mkiona mtu kila alishindwa kufanyiwa anamsingizia mtu au kitu ujue hawezi anatafuta visingizio.

Tuanze tu na maisha yetu ya kawaida.Hapa kijiweni kwangu unakuta vijana kutwa wamekaa chini ya mti kutwa na nguvu zao wanalalamikia wapinzani wa uchumi unamwuliza wewe kutwa umefanya nini kusaidia uchumi wako tu wewe mwenyewe.Msitukaushe uzazi ,nikionaga mianaume inashidwa kufanya kazi au kufanyiwa wameanza kusingizia watu ujue ni wavulana bado.
 
Safi sana Magufuli kumbe na wewe unajua kuwa Wagogo are the least intelligence creature on earth. Safi sana Mh. Rais kwa hotuba murua za kuunganisha taifa
Refer to ndugai. Lakin si dr.ntuli.. she is advanced breed among wagogo. That why kapata hiyo nafasim.otherwise angeolewa awe mama wa nyumbani tu.
 
Ilimuuma yule mama kupanda juu zaidi. Alitegemes ata struggle aje amuombe msamaha. Sasa the odds are against him.. ameanza kutoa povu.
Hakuna sila nzuri kama kukaa kimya kwa aliyekifanyia ubaya. Nafsi inamtesa
 
Wote waliosoma syllabus za zamani walifundishwa kulaumu chanzo cha tatizo na sio ufumbuzi wa tatizo.Wote hao ni waathirka wa elimu ya ujamaa walifundishwa kuwalaumu weupe juu ya kushindwa kwao kuwaletea wananchi maendeleo.

Kutawaliwa na wakoloni si kikwazo cha nchi kuendelea.Kutokuendelea kwetu kumeletwa na watawala lengo kuu ni kuwafanya watu wawe masikini ili waweze kutawala,huku wakijifichia kwenye Chaka la kuwalaumu wazungu juu ya kushindwa kwao.

Kanuni mbili haziendani huwezi ukawafanya watu wawe masikini ili uwatawale at the same time unasema unataka uwaletee maendeleo
 
Vita ya uchumi na nchi gani labda ambayo tunaweza jilinganisha kiuchumi?
 
Kuna tatizo alilokuwa nalo Mwene Malecela alikuwa anafanya kazi kama mwanasiasa na pia alipenda attention ya media hicho ndicho kilimponza kutangaza mambo bila kufata protocal
 
Paragraph yako ya mwisho umeandika rubbish bro. Nimeshafanya kazi ubalozi na sehem zingine. Let me tell you this wazungu kwenye kuajiriwa hawana undugu. hawana cha urafiki.hawana kujuana. only qualification zako, na jinsi utavyokiwa smart kwenye interview. Hiyo nafasi aliyopata huyo mama hajapewa kama zawadi. Her qualification zimembeba.

Why her? Je africa nzima haina Dr wenye utaalam kama wa mwele, je africa haina smart people kuliko mwele kwenye hiyo field?
Why wasichukue fro S.Africa, why wasichikue from Botswana? Why wasichukue from nigeria? Rwanda or Uganda?
 
Kuna kitu zaidi ya hiyo Zika na jinsi maneno yanavyoendelea kutoka watu wazima tushapata majibu wacha tupotezee mbona waliofukuzwa kazi ni wengi anaendelea kutajwa huyo tuu...
Mfumo wa ujamaa utakiwi kuwa maarufu kuzidi anayekutawala.Walitegemea kumuona kapigika kachakaa choka mbaya. Mungu ndie mtoa riziki na sio kiumbe kilichozaliwa na mwanamke.

Wana PhD za roho mbaya za korosho laiti kama wangepewa haki ya kugawa pumzi Hakuna ambae angebaki hai duniani.Ilifaa wabakie kuzimu kumsaidia baba yao ibilisi kazi ya kuchochea kuni.

Majitu ya hivi sijui kwann hayafi kwa corona
 
Unadhani huyo mdada an amani moyoni kufukuzwa na kuambiwa na mkuu wa nchi kuwa she was a mole
Kuna probability alisikitika. Haswa kama alisingiziwa.
Na kama amesingiziwa lazima kwa sasa atakuwa ana amani. Maana kapata kikubwa kuliko cha mwanzoni.
With salary ya zaid ya 21000 USD per month.
Ambayo sawasawa na 50 mil za tz.
Maybe 10 times zaid ya mshahars wa aliye mfukuza. Kwann asiwe na amani?
Thats why yuko kimya.
 
Wazungu awaajiri tu sababu wwe ni muimba kwaya mzuri Bali cv na qualifications zako tu.Na UN sio tz Hadi upate ajira kwa vimemo wanaajiri kupitia inspiro data base ya kuajiri the cream one to be peaked first.
 
Nchi ya Marekani inatoa update kila siku na wagonjwa na wanaokufa ni maelfu. Je, raia wa marekani wamepata hofu gani?
 
Ifike hatua tuangalia mambo mengine sio kila uchao kumsimanga dada wa watu, ushamtengua inatosha sasa tufocus namna ya kukamilisha miradi ilioanzishwa kwa fedha zetu za ndani, hali ya kuwa deni letu la taifa limepaa maradufu kwa mikopo ndani ya miaka minne kwa ajili ya ujenzi wa hiyo miradi
 
Unshahid mnao kuwa alitumiwa au mna accuse tu for nothing.?
Kama kweli angekosea ..yeye mwenyewe angeomba msamaha. Lakin dada wa watu alichagua kukaa kimya.
Mungu akumuacha hivi hivi.
Leo hii analipwa mshahara x10 wa anaolipwa rais.
 
Unadhani huyo mdada an amani moyoni kufukuzwa na kuambiwa na mkuu wa nchi kuwa she was a mole
Anaamani na furaha tele. Yani ufukuzwe kazi kesho yake uteuliwe kwenye kazi nyingine, mshahara ni mara mbili ya uliokuwa ukipata. Then baada ya hapo unapewa na cheo. Mshahara mara 4 ya kazi ukiyotumbuluwa, kwanini usiwe na amani?
 
Mnachezewa akili kisiasa tu.

Magufuki anajua mara zote njia rahisi kabisa ya kuungwa mkono na watu wengi masikini waliojaa ujinga ni kuwatengenezea figisu za uongonakweli za "us against them"...
Halafu wanawatumia watu Kama Kina Walter Rodney eti how Europe underdeveloped Africa.Sasa Kama wataalamu awathaminiwi wanawapa maslai kibaba Hali wabunge wanaoenda sinzia bungeni for 5 yrs wanavuna mamilioni, kwann hao wataalamu wasiangalie green pasture,niache mshahara wa milioni 50 kwa mwezi?.

Wataalamu kibao kina Muongo,Ndulu ,Mwele wenye tija iliyoonekana kina Mchechu wanapigwa chini kisa sio waimba kwaya Kama kina mollel,mwita,madilu.

Then unataka productivity.

Sisi tuendelee kuwalaumu tu mabeberu ndio zaidi tuwezacho,wao acha wasongem
 
Hapa kuna kama kaukweli fulani. But why roho imuume maana alimfukuza mwenyewe tena kwa maneno kibao.
Ni kawaida ya mwanamke akimpiga chini mpenzi wake utamani kumuona akiwa masikini forever ili ajihisi alifanya maamuzi sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…