Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

Hao hao mabeberu tunawatukana.

Hao hao watalii tunawabembeleza waje kutalii.

Hao hao wahisani tunawategemea kutusaidia bajeti.

Kweli Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Wameumbwa na mioyo tofauti kabisa Ingekuwa sisi ndio tunanangwa hivo hakika wangemsalia mtume
 
Kwetu sisi naona hali ndiyo inazidi hata kuna Max na Lenin
Hio Jamii huwa haina exposure kabisa haijiamini thus utumia nguvu badala ya akili ili kuficha udhaifu wao ni makosa makubwa Sana kuwapa leseni za udereva yafaa wabakie kwenye utingo.
 
Long live JPM Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona
 
Hii ilikuwa kama kumpiga chura teke ukizani umemuumiza makalio yake kumbe umemuongezea spidi ya kufika aendako.
Nadhan mshahara anaopata WHO kwa sasa ni mkubwa sana kuliko tule tusenti twa masimango from URT.
Zaidi ya milioni 50 pa months plus other benefits kwann wasiumie na kujilizaliza walitegemea angekuwa masikini ombaomba choka mbaya ili awasumbue sumbue kwa simu kuomba teuzi.Very very childish this guys
 
Na kuna mwingine anatumiwa na Mabeberu yupo Ulaya kutaka kuharibu amani ya Nchi yetu
Mwambieni mungu wenu aache wivu wa kike riziki Mungu ndie atoae.Alitamani matajiri wawe masikini matokeo yake wanyonge ndio wanaisoma haswaa, matajiri Wana exposure mitaji yao wamekimbizia nje wanamchora akiondoka tu watarudisha nchini Kama walivofanya enzi za Nyerere,wakarudisha enzi za Mwinyi.Aliyepewa kapewa.
 
Ilimuuma yule mama kupanda juu zaidi. Alitegemes ata struggle aje amuombe msamaha. Sasa the odds are against him.. ameanza kutoa povu.
Hakuna sila nzuri kama kukaa kimya kwa aliyekifanyia ubaya. Nafsi inamtesa
Tuache unafki "silaha ya kukaa kimya na kukuacha upige mayowe, tena una jeshi zima, TISS, mgambo, WAtu milioni 8 bado unahangaika na Mwele Ntuli " jeshi la mtu mmoja? JPM kafeli na kuahibisha sana wanaume wa kisukuma
 
Mwambieni mungu wenu aache wivu wa kike riziki Mungu ndie atoae.Alitamani matajiri wawe masikini matokeo yake wanyonge ndio wanaisoma haswaa, matajiri Wana exposure mitaji yao wamekimbizia nje wanamchora akiondoka tu watarudisha nchini Kama walivofanya enzi za Nyerere,wakarudisha enzi za Mwinyi.Aliyepewa kapewa.
Matajiri fedha wameweka fixed account, akina Manji na wenine ndio wamepeleka viwanda nje, watarudi baadae baada ya flaani kuondoka.
 
Jamani wamwache huyo mama aendelee na kazi zake huko aliko, sasa kama kafukuzwa kazi hawataki apate kwingine ili afe njaa!
 
Paragraph yako ya mwisho umeandika rubbish bro.
Nimeshafanya kazi ubalozi na sehem zingine. Let me tell you this wazungu kwenye kuajiriwa hawana undugu. hawana cha urafiki.hawana kujuana. only qualification zako, na jinsi utavyokiwa smart kwenye interview.
Hiyo nafasi aliyopata huyo mama hajapewa kama zawadi. Her qualification zimembeba.

Why her? Je africa nzima haina Dr wenye utaalam kama wa mwele, je africa haina smart people kuliko mwele kwenye hiyo field?
Why wasichukue fro S.Africa, why wasichikue from Botswana? Why wasichukue from nigeria? Rwanda or Uganda?
"Mgogo" sifa zake zimembeba,ni bora tungemtumia positively iwe model kwa watoto wetu wa kike kuliko kumbeza.Kama kuna mapungufu yake yange jadiliwa ofisini ingekuwa na afya.
 
Matajiri fedha wameweka fixed account, akina Manji na wenine ndio wamepeleka viwanda nje, watarudi baadae baada ya flaani kuondoka.
Wanamchora tu,hawa wenye itikadi za kijamaa na kikomunisti huwa si wa kuwapa leseni za udereva kabisa ni lzm wataleta umasikini nchini.
Nchi yetu ilikuwa ikistawi vizuri kiuchumi leo tunageuzwa kisiwa.
 
Mungu mecco ana phd ya roho mbaya sana laiti kama ndio angekuwa Nelson wallai hakuna kaburu angebakia hai Hadi Sasa yaani wangeshapotezwa wote.
 
Mfumo wa ujamaa utakiwi kuwa maarufu kuzidi anayekutawala.Walitegemea kumuona kapigika kachakaa choka mbaya.
Mungu ndie mtoa riziki na sio kiumbe kilichozaliwa na mwanamke.Wana PhD za roho mbaya za korosho laiti kama wangepewa haki ya kugawa pumzi Hakuna ambae angebaki hai duniani.Ilifaa wabakie kuzimu kumsaidia baba yao ibilisi kazi ya kuchochea kuni.
Majitu ya hivi sijui kwann hayafi kwa corona
Harafu wapo busy kulaani yule Floyd alieuawa USA wakati hapa hapa wapo watu wana roho mbaya sana kwa kweli kasomeshwa na mtu mwingine kajipatia ajira huko analipwa ili nae watoto na ndugu zake waishi vizuri kama yeye ila hataki kila siku kumtajia tu.

Nchi itaendelea hii kama husda na chuki zimetawala na zinajengwa kwa vizazi na vizazi maana sisi tutakufa watoto wataendelea kuwepo huku wazazi wakiwa hawana vyeo tena itakuaje huko mbele maana watoto wanasikia na kuona kinachoendelea....
 
Unafahamu mikataba ya kimataifa tuliyotia sahihi wenyewe kama nchi inasemaje kuhusu haya mambo?

Mikataba ya Kimataifa inaibana nchi, sio Dr. Mwele.

Dr. Mwele anatumwa na nchi kutekeleza mikataba husika kama ambavyo bosi wake anataka. Yeye Mwele anabanwa na mkataba wake na bosi wake, Magu administration.

Magu administration haikutaka kutoa data za Zika. Mwele alitakiwa afanye anachoambiwa na mabosi wa Magu administration, halafu wao kina Magu na foreign service ndio wangewajibika huko international community.

Bora Waziri wa Afya kidogo angeweza kujiamulia mwelekeo wa ku deal na Zika Virus. Dr. Mwele was a very small potato in the administration tottem pole. She should have checked with her State House liason or Ministry of Health.

Pamoja na ma checks and balances yao yote ya kumdhibiti Rais, na uhuru na democracy yao, mara kibao Trump anasema sitatekeleza kipengele cha Kyoto Protocol on Climate Change au Resolution 2231 on Iran Nuclear Disarmament, NAFTA, NATO, WHO, na hakuna kiumbe chochote serikalini huwa kinathubutu kusema mimi ntatekeleza. Wanaku fire!
 
Halafu awamu ya kutaja makabila na ukanda ni hatari sana
Si sawa kuendelea kumsakama mtu ambaye umemtumbua akaondoka kimya kimya na kutafuta maisha kwingineko. Achana naye. Pia usemi kwamba alikuwa antumiwa na mabeberu ni lugha ambayo unaweza kuaminisha simple minds. Wenye akili tunasema shutuma hizo ni za kipuuzi.
 
Nchi ya Marekani inatoa update kila siku na wagonjwa na wanaokufa ni maelfu. Je, raia wa marekani wamepata hofu gani?
Kuna sintofahamu kubwa ikiwa ni kweli hao maelfu ni kweli wanakufa, au ndo power ya media zao kueneza propaganda. Ikumbukwe kua Trump alitangaza dawa ya korona baadaye ikaja kubainika ni uongo.

Wenzetu uchumi wao upo juu sana na hata sekta ya afya ipo juu kiufanisi, majanga kama hayo ya korona madhara yake hayawezi kua sawa na Africa. Huku africa hua tunaathiriwa zaidi kiakili kuliko kawaida, ndio maana thinking capacity yetu ina mashaka. Mfano mdogo ni huu wa vifo vya korona huko USA, je ni kweli?? Hakuna kilichonyuma ya pazia?
 
Yapo mambo unayoweza kuficha lakini sio ugonjwa, Zika ilikua inasambazwa sana na mbu, ikumbukwe ugonjwa unaoitesa nchi yetu miaka nenda rudi ni malaria kutokana na hali ya hewa na kimazingira inyasapoti mbu wengi kuzaliana. Ikiwa mbu ndo inasambaza zika unadhani rais angeficha idadi kubwa ya wagonjwa wa zika? Huku mtaani Buguruni tungeona wagonjwa wengi wasio wa kawaida.

Ugonjwa wa zika ulikua unasambaa sana duniani kipindi kile, kwa spidi ile kama ulikuepo nchini ni lazima tungeona dalili hata sie tusio wataalamu.

Kuhusu ugonjwa wa covid 19 na rais kuficha data pia ni hisia za watu tu. Kuna kipindi wagonjwa walifika mpaka 190, kama serikali ingekua na nia ya kuficha isingetangaza hata hyo idadi kubwa ya watu 190. Serikali iliamua kutotangaza updates za kila siku kwasababu iliwaongezea wananchi hofu kuliko uhalisia. Wakubwa huko nje wanaposema "maiti zitatapakaa mitaani" alafu serikali kila siku inatangaza idadi ya watu kuumwa, kisaikolojia unatengeneza nchi ya aina gani? Hata hao wanaotangaza wengine wameacha, mfano uganda na suala la muda tu kila nchi itaacha kutangaza na korona itakuepo kwa miaka kadhaa ijayo.

Wazungu hawakupi kazi kubwa na nzuri hivi hivi tu, ni watu wa masilahi muda wote ni hizi nchi zetu za dunia ya 3 ndo sehemu yao ya kufanyia mazoezi. Siamini rais anamchukia dr Mwele.

Mkuu, ni vizuri umekiri kwamba wewe sio mtaalam wa mambo haya. Mbu wanaoneza malaria(anopheles) ni tofauti na wale wa zika(aedes) ambao wanasambaza pia virusi vya homa ya dengue, chikungunya na homa ya manjano.

Kuhusu kuwatoa wananchi hofu kwa kuzuia habari hilo sikubaliani nalo. Naamini kuwa wananchi wana haki ya kuwa informed.

Nakubali kuwa mataifa makubwa kama USA na China yanaenda kwa maslahi zaidi. Hilo sio dhambi. Hata sisi tunatakiwa tujifunze kujali maslahi yetu kitaifa kwa sana.
Moja ya vitu ambavyo vimetukwamisha ni kuwa na watu, hasa viongozi wa ngazi mbalimbali, waliojali maslahi yao binafsi dhidi ya maslahi ya taifa.

Lakini kwa habari ya Dr Mwele Malecela, ni mtu mwenye merit za kupata hiyo kazi aliyo nayo sasa. Kusema amepewa hiyo kazi kwa kuisaliti nchi ni propaganda mbaya kabisa ya kumharibia maisha yake, au sivyo mtuonyeshe tafiti nyingine zenye muelekeo wa kuiuza nchi zilizofanywa chini yake kama boss wa NIMR.
 
Inawezekana unazungumzia kweli lakini if you can read btn the line kuna ujumbe umekusudiwa kupelekwa kwa watu kupitia yeye...
Mkuu magonjwa sio kitu cha aibu yapo na yataendelea kuwepo ndio maana toka enzi hizo kuna tafiti na hao hao tunaowatukana leo na dawa nyingi zinatoka kwao na zingine za misaada sio sawa kuendelea kuongea kuhusu wao huku wakitusaidia sio sawa kumbuka misaada yao ni kodi za wananchi wao.

ndio tunaahukuru huku na kuwaita majina ya ajabu ajabu na pia sio sawa kumtaja mtu eti harafu mgogo ili iweje watu walijenga muda mrefu kutodharauliana kwa makabila sasa naona inapanda kasi na madhara yake yataonekana muda si mrefu maana unachokipanda kinaota ujue...
 
Paragraph yako ya mwisho umeandika rubbish bro.
Nimeshafanya kazi ubalozi na sehem zingine. Let me tell you this wazungu kwenye kuajiriwa hawana undugu. hawana cha urafiki.hawana kujuana. only qualification zako, na jinsi utavyokiwa smart kwenye interview.
Hiyo nafasi aliyopata huyo mama hajapewa kama zawadi. Her qualification zimembeba.

Why her? Je africa nzima haina Dr wenye utaalam kama wa mwele, je africa haina smart people kuliko mwele kwenye hiyo field?
Why wasichukue fro S.Africa, why wasichikue from Botswana? Why wasichukue from nigeria? Rwanda or Uganda?
Nimesema kazi nzuri, au kazi kubwa. Kama ni kazi hizi ndogo ndogo za ubalozini ni kweli watampa mtu yoyote mwenye uwezo . Je unajua kuna taasisi za binafsi USA hawaajiri hata wazungu wasio wamarekani? Elon musk aliwahi kulalamikiwa kwa upendeleo kwenye kampuni zake, nae alijibu kua ni sera za nchi zinambana... Tafuta ukweli huu. Wazungu wakikupa nafasi kwenye kitengo nyeti ujue kuna sababu kubwa, unaweza kua unatumika hata bila wewe kujijua. Nina mifano mingi
 
Back
Top Bottom