Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Rais kasema alikuwa natumika! Ulitaka uletewe ushahidi gani? Upewe card reader yenye huo ushahidi au nini?Mimi na shed light. Na usiishie kuniambia rais ana vyombo vingi. Nataka concrete evidence right here. Sio blah blah.
Sipingi kuwa hawez kutumika? But mna ushahid kuwa anatumika?
For the record tu Alikuwa DG wa NIMR.
A leader for ground team iliyokuwa ina conduct research. In their last reasearch waka conclude kulikuwa viashiria vya huu ugonjwa lakin haukuwa hatarishi by then.
If kumpinga. Mngekuja na research yenu ambayo inaipinga research yake. With concrete supportive evidence. Not politics.
Nakuuliza tena huko kwenu kuna mgonjwa wa zika au hata ulisikia hata tetesi kwamba kuna zika sehemu flani?
Au nyie mnafikiri watanzania ni wajinga sana? Kwamba kwakuwa wewe unampinga magufuli basi kila mtu awe anabisha tu kila anachosema?