Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Kama angekuwa mwongo mwongo na msanii.. hiyo nafasi hata wazungu wangemtupa.Apande tu huko watanzania hatumhitaji magonjwa ya mlipuko waziri wa afya ndie mwenye dhamana yeye akajiibukia tu na Zika yake hewa .Kuwa mtaalamu sio kuwa mwongo
Aende kuwaongopea wazungu
Asingepita hata interview.
Hakuna kazi ambazo ni ngumu kupata kama mashirika makubwa ya nje. Interview ni heavy na ni tricky sana.
Ukiona mbongo kapenya.. basi ni smart na ana deserve.
Haswa kwa hiko cheo.
And for the record tu alikuwa DG wa NIMR.