Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
Kuna upotoshwaji mkubwa sana unaofanywa na idara ya habari ya Ikulu ama kwa makusudi au kwa kujikomba.Kumbe waliamua madiwani ,kwann kilakitu mnasema president au kutia saini vitu vilivyopitishwa na wezake...semeni president kakubali ,sio kasema kwahyo amesema walimosema wezake
Wewe fala kweli kweliBig up Mr ,President
Kuna upotoshwaji mkubwa sana unaofanywa na idara ya habari ya Ikulu ama kwa makusudi au kwa kujikomba.
Taarifa nyingi ambazo zinapaswa kuwa Rais kaidhinisha idara hii ya Msigwa huarifu kuwa Rais kaagiza, Rais kaamuru au Rais katoa nk.
Lugha hii si shirikishi hata kidogo inakuwa kama ni wazo binafsi la Rais!
Mkuu , Rais akisifiwa unaumia? ! Maajabu sana.
Wewe ni MbwaBig up Mr ,President
Mwigulu Nchemba alipata ajali ya kugonga punda na gari ikaumia naye akanusurika. Alipotoka hospitali alimshukuru Magufuri badala ya kusmshukuru Mungu.Mkuu , Rais akisifiwa unaumia? ! Maajabu sana.
Ileje hapo hakuna potoshaji hata km Madiwani walipendekeza, angeweza kukataaKuna upotoshwaji mkubwa sana unaofanywa na idara ya habari ya Ikulu ama kwa makusudi au kwa kujikomba.