Rais Magufuli ameamua nchi ifungue sura mpya ya kimaendeleo kuelekea 2025

Hivi Fahami Matsawili alikuwaga hajapata kauteuzi ! Vidigree vya UDSM siku hizi si chochote tena ka Sociology,maneno meeeeengi kwenye TV na kusifia ila bila kauteuzi njaa itakuuwa,mjini!
Si unaona mwenzako Julius Mtatiro njaa kidogo imepoa! Kaza buti kusifia utatoboa tu muda bado upo!.

Kijana anajtutumua ili wajue kuwa naye "yupo" huenda jicho likammulika
 
MLETA MADA UNASEMA

HOJA: 1. Ujenzi wa barabara Nchi Nzima kwa gharama Sh. Trilioni 5.3 ili kurahisisha usafiri wa watu na mizigo ya biashara kutoka sehemu moja kwenda nyingine.....

JIBU: Acha kutamka tu, sema ni barabara zipi hizo zinazokusudiwa kujenga, Tunachojua ni Kwamba Barabara zilijengwa za kuunganisha Kila mkoa na almost kila wilaya wakati wa JK , Na huyu JPM ndiye aliyekuwa msiamazi mkuu wa ujenzi huu!. Siku nyingine badala ya KULETA FIGURE pekee ili kuibua hisia leta mifano halisi.

HOJA: 2. Ununuzi Ndege Mpya Sh. Trillioni 1.3 ili kuchochea sekta ya Utalii na Biashara ya ndani ya nchi yetu...

JIBU: Ni utafiti gani umeufanya kuwa Ununuzi wa ndegu Unaongeza utalii?, maana kudhani kuwa na ndege ndo kuinua utalii ni dhana potofu, kwa mfano takwimu ziko wapi kuonyesha kuwa ununzi wa ndege umechochea utalii?. Takwimu ziko wapi zinazoonyesha namna Ndege tulizonunua zimestimulate utalii?. Operation cost za kuendesha hizo ndege ukilinganisha pesa zinazoingiza ni kiasi gani?, lete takwimu ndugu, usiorodheshe vitu kama listi ya wachezaji wa pira oyesha impact ya kitu. Tunachojua ni kwamba biashara ya ndege ni baishara pasua kichwa, na Taarifa za PAC na ripoti za CAG zimeonyesha miongoni mwa mashirika yanayopata hasara mpaka sasa ni ATCL, hizo ndege zimetusaidia vipi?. Lakini pia hizo ndege zimenunuliwa bila pesa kuidhinishwa na bunge, ndege zimenunuliwa kwa utashi tu bila kufuata sheria, hatujui tumepigwa au la, inabidi kamati maalum ya bunge au CAG achunguze hili.

HOJA: 9.Ukarabati Viwanja vya Ndege Nchi Nzima Sh. Trilioni 1.8
JIBU: Ukarabati wa viwanja vya ndege nchi nzima ulifanywa kwa asilimia kubwa na serikali iliyopita ya JK, labda utuambie kuwa huyu anamaliziamalizia kazi na pia gharama kubwa hapo imetumika kwenye ujenzi wa Uwanja mpya wa Chato usio na faida yoyote ya maana kiuchumi kwa nchi

HOJA: 11. Miradi ya Usambazaji Umeme vijijini kupitia Rea Umeme unaendelea kuchomoza vijijini...
JIBU: Usitutanie kuhusu REA, Sema JPM anaendeleza REA, lakini REA ilikuwepo toka awamu iliyopita, watu wamekatwa kodi wakati wakinunua umeme wa LUKU kwa ajili ya REA kwa muda mrefu kabla JPM hajawa raisi, na kukuonyesha kuwa REA ipo toka awamu iliyopita mimi kwa mfano umeme wa REA ulifika kijijini kwetu toka mwaka 2013 wakati wa JK

HOJA: 13 Ununuzi wa vivuko vya Majini maeneo mbalimbali ili kurahisisha usafiri wa watu na mizigo ya biashara.....
JIBU: Hujaeleza kivuko gani?, Maana huyuhuyu JPM alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ujenzi alikuwa akisifu kila wakati kuwa JK kanunua vivuko vingi sana hapa nchini, Msidhani watanzania hatuna kumbukumbu vizuri na msitake kusafiria nyota za wenzenu , tengenezeni Legacy zenu lakini msiibe legacy za watu

HOJA : 14. Ujenzi wa madaraja mfano Mfugale, Ubungo interchange, Surrender bridge n.k
JIBU: Daraja La baharini la Surrender siyo necessity ya Mtanzania ni la show off zaidi kuliko haja na umuhimu wake, Daraja la Mfugale, pesa ilitafutwa na utawala uliopita na mikataba ilisainiwa na utawala uliopita. Hebu Linganisha Significance ya madaraja hayo na daraja kama la Mkapa lilojengwa na BWM, Malagarasi, Kilombero, Kigamboni yaliyojengwa na JK . Hayo ndiyo madaraja ya Legacy na kujivunia kwa mtu mwenye hadhi ya Raisi siyo daraja la Flyover ya Mfugale

HOJA: 15. Miradi ya Maji inayoendelea Kujengwa Maeneo Mbalimbali ya Nchi yetu ni mapinduzi kwenye sekta ya Maji.....
JIBU: Mkapa alileta maji kutoka ziwa Victoria mpaka Shinyanga, Kikwete akatutengenezea mradi mpya kutoka Ruvu chini kupitia bunju kuja mpaka Dar, Visima kibao vilijengwa nchi nzima!. Upo wapi mradi wa scale ya ule wa BWM au JK katika serikali hii?

Baada ya kukujibu hoja zako nikueleze sasa mambo ya msingi sana ambayo yanatugusa wananchi serikali hii haijafanya
1. Haiheshimu katiba iliyoapa kuilinda, kuna uonevu uliokithiri nchini kwa watu na taasisi mbalimbali kama vile wanasiasa wa upinzani, waandishi wa habari, vyama vya siasa etc

2. Wakulima wameendelea kutendewa visivyo haki, wakulima wa korosho walichukuliwa korosho zao kinguvu, zao la mbaazi limevurugwa, Zao la kahawa limeveurugwa

3. Wafanyakazi hawapewi stahiki zao kwa mujibu wa sheria za kazi, nyongeza ya kila mwaka iliyopo kwa mujibu wa sheria haipo

4. Wastaafu wanahangaika, wanapigwa danadana nenda rudi, wengine wanakaa miaka kibao bila mafao

5. Hali ya usalama wa wananchi iko matatani, watu wanatekwa, wengine wanapotea katika hali ya kutatanisha, watu wanaogopa hawajui fate yao itakuwa nini

6. Biashara zinaporomoka, Juzi hapa wafanyabiashara wamekiri jinsi TRA ilivyokuwa ikiwanyanyasa, biashara nyingi zimefungwa, maisha yamezidi kuwa magumu

7. Kilimo kiko arijojo, bajeti ya kilimo imezidi kupungua mwaka after mwaka, Pesa zinazopelekwa kwenye kilimo wakati mwingine haifiki hata asilimia 30 ya bajeti iliyotengwa, katika hali kama hii utainuaje hali za watanzania wakati zaidi ya asilimia 70 ya watu wetu wantegemea kilimo?

8. Ajira zimeendelea kuwa bomu linalosubiri kupasuka, mwaka wa 4 huu serikali inasuasua kwenye ajira, hata sekta binafsi ambayo ingebidi iisaide serikali kuajiri inasuffer, Sekta binafsi imekuwa paralysed, sasa katika hali kama hii Ujenzi wa uwanja wa ndege Chato au daraja la Surrender unawasaidia vipi vijana?. hata pesa ambazo inabidi zitengwe na Wakurugenzi kwa mujibu wa sheria hazitengwi, wewe mwenyewe unalifahamu hili vizuri

HITIMISHO:
Mleta mada umeleta habari za utendaji wa awamu hii lakini ambacho hujakisema ni kwamba miradi mingi inayofanyika kwenye awamu hii ni miradi iliyoanzishwa kutafutiwa fedha na serikali zilizopita, kwa hiyo awamu hii inamaliziamalizia na kuongezea hapa na pale palipopungua

Pili, Miradi mikubwa kama SGR inatoa pesa nje badala ya kuingiza pesa ndani, Chuma tunatoa nje, kabla ya kuanza ujenzi pale tungehakikisha tumewekeza Liganga na mchuchuma ili tutumie chuma chetu cha humuhumu nchini ili pesa nyingi zaidi ibaki ndani etc, Lakini pia miradi mingine siyo Miradi PRIMARY kwa uchumi ni miradi SECONDARY kiuchumi kwa mfano mradi wa uwanja wa ndege Chato au Daraja la kupitia "Baharini" la Surrender

Tatu miradi hii inafanyika wakati maisha na mahitaji ya watu hayaguswi ipasavyo, Mkulima kama vile wa korosho, kahawa,etc ameendelea kutopewa umuhimu wa maana, Ajira za wananchi ziko chini, Private sector imesuffer mno ndani ya miaka hii minne.

Hali ya Kidemokrasia na kuheshimu viapo vya uongozi kama vile NAAPA NITALINDA NA KUTETEA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ILIYOWEKWA KWA MUJIBU WA SHERIA, NA KWAMBA KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YANGU SITAPENDELEA WALA KUONEA MTU.....haviheshimiwi ipasavyo viapo hivi

NAWASILISHA

Ni mimi:
Missile of the Nation (Komboro hatari la Ulinzi wa Taifa)
Na mbaya zaidi nusu ya bajeti inatumika kulipa madeni rais anasema tunajenga kwa pesa zetu wenyewe
 
Rais wetu John pombe Magufuli ameamua Nchi iende Mbele... hii ndio kusema Chagua Magufuli Kazi iendelee

1. Ujenzi wa barabara Nchi Nzima kwa gharama Sh. Trilioni 5.3 ili kurahisisha usafiri wa watu na mizigo ya biashara kutoka sehemu moja kwenda nyingine.....

2. Ununuzi Ndege Mpya Sh. Trillioni 1.3 ili kuchochea sekta ya Utalii na Biashara ya ndani ya nchi yetu....

3.Ujenzi wa Hospital za wilaya 67 Wakati tangu tupate Uhuru hadi Leo tulikuwa na hospital 77 za wilaya, vituo vya Afya Sh.Bilioni 321

4.Kufufua Mradi wa kuzalisha Umeme MTO Rufiji Sh.Trilioni 6.5 utakaozalisha MW 2100 Wakati tangu tupate Uhuru hadi Leo hii tunazalisha MW 1500 za Umeme tu......

5. Ujenzi wa reli ya kisasa (Standard Gauge) Sh. Trillioni 7 baada ya kukaa na reli ya mkoloni tuliyorithi zaidi ya miaka 200 iliyopita.....

6. Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya juu 2015-2019 Sh. Trilioni 1.6

7. Elimu Msingi bila malipo (Elimu Bure) kwa Shule za Msingi hadi kidato cha nne sh. Bilioni 945.9

8.Ukarabati Shule kongwe 62, Ujenzi wa Maabara, nyumba za Walimu kwa Sh. Bilioni 308

9.Ukarabati Viwanja vya Ndege Nchi Nzima Sh. Trilioni 1.8

10. Ujenzi wa meli Mpya na ukarabati za Mv Victoria na Mv Butiama katika Ziwa Victoria Sh. Bilioni 152,

Ujenzi wa meli Mbili Ziwa Tanganyika meli ya mizigo na Abiria MV Liemba, Ujenzi wa meli Mbili za Abiria na Mizigo Ziwa Nyasa MV Ruvuma na MV Njombe Umekamilika.....

11. Miradi ya Usambazaji Umeme vijijini kupitia Rea Umeme unaendelea kuchomoza vijijini....

12. Upanuzi wa Bandari ya Mtwara kwa kiwango kikubwa, Bandari ya Tanga, Bandari ya Dar es salaam

13 Ununuzi wa vivuko vya Majini maeneo mbalimbali ili kurahisisha usafiri wa watu na mizigo ya biashara......

14. Ujenzi wa madaraja mfano Mfugale, Ubungo interchange, Surrender bridge n.k

15. Miradi ya Maji inayoendelea Kujengwa Maeneo Mbalimbali ya Nchi yetu ni mapinduzi kwenye sekta ya Maji......

N.K N.K N.K

We are proud of you, our president Honorable John Pombe Magufuli.....

Naungana na Mwenyekiti wangu wa Vijana Taifa Comrade kheri James kuwa yoyote anaempinga Rais wetu kwa haya anayofanya kwa Mustakbari wa Taifa letu kuna mambo mawili kwa mtu huyu either ni Chizi au Mkimbizi nchini kwetu........

Fahami Matsawili
Mjumbe wa baraza kuu Uvccm Taifa..

Umekosea katika mambo mawili:
1. Uzi huu ungeufungua kabla mwenyekiti wako hajaamua kununua watu (kutoka upinzani).
2. Umesahau kuweka namba ya simu

Haya mawili yangekurahisishia kupata japo u DAS. Hata hivyo, jitahidi ku-post nyuzi nyingine kama hii angalau mara tatu kwa wiki unaweza kuonekana.
 
Mmeshaanza kampeni ,mnataka kufungua sura mpya ya maendeleo ? Maendeleo yapi au ya utekaji na uuaji?
 
MLETA MADA UNASEMA

HOJA: 1. Ujenzi wa barabara Nchi Nzima kwa gharama Sh. Trilioni 5.3 ili kurahisisha usafiri wa watu na mizigo ya biashara kutoka sehemu moja kwenda nyingine.....

JIBU: Acha kutamka tu, sema ni barabara zipi hizo zinazokusudiwa kujenga, Tunachojua ni Kwamba Barabara zilijengwa za kuunganisha Kila mkoa na almost kila wilaya wakati wa JK , Na huyu JPM ndiye aliyekuwa msiamazi mkuu wa ujenzi huu!. Siku nyingine badala ya KULETA FIGURE pekee ili kuibua hisia leta mifano halisi.

HOJA: 2. Ununuzi Ndege Mpya Sh. Trillioni 1.3 ili kuchochea sekta ya Utalii na Biashara ya ndani ya nchi yetu...

JIBU: Ni utafiti gani umeufanya kuwa Ununuzi wa ndegu Unaongeza utalii?, maana kudhani kuwa na ndege ndo kuinua utalii ni dhana potofu, kwa mfano takwimu ziko wapi kuonyesha kuwa ununzi wa ndege umechochea utalii?. Takwimu ziko wapi zinazoonyesha namna Ndege tulizonunua zimestimulate utalii?. Operation cost za kuendesha hizo ndege ukilinganisha pesa zinazoingiza ni kiasi gani?, lete takwimu ndugu, usiorodheshe vitu kama listi ya wachezaji wa pira oyesha impact ya kitu. Tunachojua ni kwamba biashara ya ndege ni baishara pasua kichwa, na Taarifa za PAC na ripoti za CAG zimeonyesha miongoni mwa mashirika yanayopata hasara mpaka sasa ni ATCL, hizo ndege zimetusaidia vipi?. Lakini pia hizo ndege zimenunuliwa bila pesa kuidhinishwa na bunge, ndege zimenunuliwa kwa utashi tu bila kufuata sheria, hatujui tumepigwa au la, inabidi kamati maalum ya bunge au CAG achunguze hili.

HOJA: 9.Ukarabati Viwanja vya Ndege Nchi Nzima Sh. Trilioni 1.8
JIBU: Ukarabati wa viwanja vya ndege nchi nzima ulifanywa kwa asilimia kubwa na serikali iliyopita ya JK, labda utuambie kuwa huyu anamaliziamalizia kazi na pia gharama kubwa hapo imetumika kwenye ujenzi wa Uwanja mpya wa Chato usio na faida yoyote ya maana kiuchumi kwa nchi

HOJA: 11. Miradi ya Usambazaji Umeme vijijini kupitia Rea Umeme unaendelea kuchomoza vijijini...
JIBU: Usitutanie kuhusu REA, Sema JPM anaendeleza REA, lakini REA ilikuwepo toka awamu iliyopita, watu wamekatwa kodi wakati wakinunua umeme wa LUKU kwa ajili ya REA kwa muda mrefu kabla JPM hajawa raisi, na kukuonyesha kuwa REA ipo toka awamu iliyopita mimi kwa mfano umeme wa REA ulifika kijijini kwetu toka mwaka 2013 wakati wa JK

HOJA: 13 Ununuzi wa vivuko vya Majini maeneo mbalimbali ili kurahisisha usafiri wa watu na mizigo ya biashara.....
JIBU: Hujaeleza kivuko gani?, Maana huyuhuyu JPM alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ujenzi alikuwa akisifu kila wakati kuwa JK kanunua vivuko vingi sana hapa nchini, Msidhani watanzania hatuna kumbukumbu vizuri na msitake kusafiria nyota za wenzenu , tengenezeni Legacy zenu lakini msiibe legacy za watu

HOJA : 14. Ujenzi wa madaraja mfano Mfugale, Ubungo interchange, Surrender bridge n.k
JIBU: Daraja La baharini la Surrender siyo necessity ya Mtanzania ni la show off zaidi kuliko haja na umuhimu wake, Daraja la Mfugale, pesa ilitafutwa na utawala uliopita na mikataba ilisainiwa na utawala uliopita. Hebu Linganisha Significance ya madaraja hayo na daraja kama la Mkapa lilojengwa na BWM, Malagarasi, Kilombero, Kigamboni yaliyojengwa na JK . Hayo ndiyo madaraja ya Legacy na kujivunia kwa mtu mwenye hadhi ya Raisi siyo daraja la Flyover ya Mfugale

HOJA: 15. Miradi ya Maji inayoendelea Kujengwa Maeneo Mbalimbali ya Nchi yetu ni mapinduzi kwenye sekta ya Maji.....
JIBU: Mkapa alileta maji kutoka ziwa Victoria mpaka Shinyanga, Kikwete akatutengenezea mradi mpya kutoka Ruvu chini kupitia bunju kuja mpaka Dar, Visima kibao vilijengwa nchi nzima!. Upo wapi mradi wa scale ya ule wa BWM au JK katika serikali hii?

Baada ya kukujibu hoja zako nikueleze sasa mambo ya msingi sana ambayo yanatugusa wananchi serikali hii haijafanya
1. Haiheshimu katiba iliyoapa kuilinda, kuna uonevu uliokithiri nchini kwa watu na taasisi mbalimbali kama vile wanasiasa wa upinzani, waandishi wa habari, vyama vya siasa etc

2. Wakulima wameendelea kutendewa visivyo haki, wakulima wa korosho walichukuliwa korosho zao kinguvu, zao la mbaazi limevurugwa, Zao la kahawa limeveurugwa

3. Wafanyakazi hawapewi stahiki zao kwa mujibu wa sheria za kazi, nyongeza ya kila mwaka iliyopo kwa mujibu wa sheria haipo

4. Wastaafu wanahangaika, wanapigwa danadana nenda rudi, wengine wanakaa miaka kibao bila mafao

5. Hali ya usalama wa wananchi iko matatani, watu wanatekwa, wengine wanapotea katika hali ya kutatanisha, watu wanaogopa hawajui fate yao itakuwa nini

6. Biashara zinaporomoka, Juzi hapa wafanyabiashara wamekiri jinsi TRA ilivyokuwa ikiwanyanyasa, biashara nyingi zimefungwa, maisha yamezidi kuwa magumu

7. Kilimo kiko arijojo, bajeti ya kilimo imezidi kupungua mwaka after mwaka, Pesa zinazopelekwa kwenye kilimo wakati mwingine haifiki hata asilimia 30 ya bajeti iliyotengwa, katika hali kama hii utainuaje hali za watanzania wakati zaidi ya asilimia 70 ya watu wetu wantegemea kilimo?

8. Ajira zimeendelea kuwa bomu linalosubiri kupasuka, mwaka wa 4 huu serikali inasuasua kwenye ajira, hata sekta binafsi ambayo ingebidi iisaide serikali kuajiri inasuffer, Sekta binafsi imekuwa paralysed, sasa katika hali kama hii Ujenzi wa uwanja wa ndege Chato au daraja la Surrender unawasaidia vipi vijana?. hata pesa ambazo inabidi zitengwe na Wakurugenzi kwa mujibu wa sheria hazitengwi, wewe mwenyewe unalifahamu hili vizuri

HITIMISHO:
Mleta mada umeleta habari za utendaji wa awamu hii lakini ambacho hujakisema ni kwamba miradi mingi inayofanyika kwenye awamu hii ni miradi iliyoanzishwa kutafutiwa fedha na serikali zilizopita, kwa hiyo awamu hii inamaliziamalizia na kuongezea hapa na pale palipopungua

Pili, Miradi mikubwa kama SGR inatoa pesa nje badala ya kuingiza pesa ndani, Chuma tunatoa nje, kabla ya kuanza ujenzi pale tungehakikisha tumewekeza Liganga na mchuchuma ili tutumie chuma chetu cha humuhumu nchini ili pesa nyingi zaidi ibaki ndani etc, Lakini pia miradi mingine siyo Miradi PRIMARY kwa uchumi ni miradi SECONDARY kiuchumi kwa mfano mradi wa uwanja wa ndege Chato au Daraja la kupitia "Baharini" la Surrender

Tatu miradi hii inafanyika wakati maisha na mahitaji ya watu hayaguswi ipasavyo, Mkulima kama vile wa korosho, kahawa,etc ameendelea kutopewa umuhimu wa maana, Ajira za wananchi ziko chini, Private sector imesuffer mno ndani ya miaka hii minne.

Hali ya Kidemokrasia na kuheshimu viapo vya uongozi kama vile NAAPA NITALINDA NA KUTETEA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ILIYOWEKWA KWA MUJIBU WA SHERIA, NA KWAMBA KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YANGU SITAPENDELEA WALA KUONEA MTU.....haviheshimiwi ipasavyo viapo hivi

NAWASILISHA

Ni mimi:
Missile of the Nation (Komboro hatari la Ulinzi wa Taifa)
Angalau watu wenye kumbukumbu mpo mnatusaidia
 
Huyo ni 'mshamba' tu hana jipya , hayo yote uliyo orodhesha ulikuwa ni mipango ya serikali EXCEPT hilo la kununua ndege, and it is something which is not important for Tanzanians right now,
Watanzania wanahitaji maji safi na sio mindege.....ulikinganisha na uhitaji wa maji.

Jk amefanya makubwa mno katika mabarabara na huyo ' mshamba ' ndio alikuwa msimamizi wa miradi hiyo na anajua kuwa nini serikali ili plan.

Yeye hana pesa ya kufanya lolote kwa sababu kazi zote zinafanywa kwa kodi ya Watanzania ikiwepo kumnunulia suti anayovaa, chakula anachokula n.k

Therefore, huyo ni ' mshamba tu' hana jipya.
Nimeshindwa nijibu nini yeye ni msimamizi wa matumizi wa kodi zetu kwa kuna Rais yoyote duniani anaendesha nchi kwa pesa yake ya mfukoni???

Hayo matusi sio utamaduni wetu watanzania badirika ndugu yangu jenga hoja
 
Kuhusu Matusi mbona sijakusikia ukimkosoa Mwenyekiti wa chama chako kwa kuwaita baadhi ya mawaziri wake "wapumbavu"
Au katibu mkuu wa chama chako alipowaita watu "wapumbavu waa mwaka"?
 
Mwambie aongeze mishahara ya vibarua wake hata kama anaongeza buku tu wanalalamika sana mwishowe watamuhujumu asijione yuko salama atambue mwenye njaa huamua lolote kwa maslahi mapana ya tumbo lake....
Sisi wakulima pia tutanufaika na nyongeza atakayofanya maana purchasing power parity itaongezeka.
Atumie nafasi yake kupitia upya kodi na tozo mbalimbali za nchi, wamachinga tumehamia uganda, zambia, Comoro na sooner tunaelekea Sudan ya kusini maana nchi yetu wenyewe inaturundikia mzigo wa ulipaji na kipindi hiki hakuna namna ya kukwepa kama huko nyuma ndio maana tunaona vyuma vinazidi kukaza...
Mwambie pia suala la kushughulika na wanaokengeuka liko kiovyoovyo sana kiasi kwamba taswira ya nchi inachafuka na hatua hazichukuliwi mwishowe tunachoshwa na uananchi wetu...kila siku yule katekwa yule kajiteka na hakuna hatua za udhibiti, aiambie intelijensia yake iwe makini na mienendo yake na wasiompenda pia kuna mbinu nyingi za kutumia bila kuharibu taswira ya taifa....
Mwambie pia na huku nanjilinji atukumbuke kama alivoikumbuka chato hata afungue chuo cha veta cha kitaifa ili na sisi tujulikane tule matunda ya nchi yetu.
Wakulima wanahitaji kufunguliwa masoko ya bidhaa zao, mwambie Kilimo kipo huku shambani na sio kule bungeni na kwenye makongamano mjini, hivyo pembejeo bora zinahitajika kwa wakati, pia viwanda anavosema vitawezekana kukiwa na maboresho kwenye Kilimo chetu huku shambani..
Mwambie wanaoongea ikiwa hawamdhuru awaambie watu wake wawaache tu waongee wakichoka watalala hii kamata kamata aachane nayo ndio wameamua kuongea tu wakasemee wapi?
Anajenga misingi ya kuhudumia Uchumi ili uzalishe...maendeleo ni mchakato mishahara ashasema Rais wetu ataongeza ameanza na haya niliyotaja baadhi yake
 
Haa haa Haaa Haaa hao wanaomchukia Rais wetu John pombe Magufuli ndio hao wanaangukia kundi nililolitaja mwisho wa post yangu haiwezekani ukamchukia Bure
Tyr ameongeza sababu za kuchukiwa huyo jiwe,mengine ni propaganda tu maana kila siku mnatuorodheshea hayo hayo mtafikiri ni mapya,ni sawa umtongoze mwanamke kila siku una mwambia maneno Yale Yale.
 
Mwambie Comrade
Duh naona umeathirika sana as policies za JPM vumilia sindano imeingia hadi kwenye mfupa huyo unaye muita mshamba ndo kakufanya wewe mtoto wa mjini kulialia na mambo mpaka 2025
 
Comrade umegusia masuala mengi lkn muhimu kujua Rais aliyeko madarakani amepokea kijiti kutoka kwa mtangulizi wake ipo miradi iliyokuwa kwenye hatua ya upembuzi yakinifu kwenda utekelezwaji wake katika Awamu ya Tano ya Rais wetu John pombe Magufuli..

Pili miradi mikubwa ya SGR na wa Umeme MTO Rufiji ni maamuzi Magumu ya Rais wetu John pombe Magufuli dunia inajua kutumia malighafi za chuma ya linganga na mchuchuma zipo sababu za msingi zilizopelekea hilo kushindikana jua hivyo.

Kila ukienda wilaya yoyote hapa nchini kuna mradi mkubwa unaendelea unatoa wapi ujasiri wa kutoona juhudi za Rais wetu katika mapinduzi ya maendeleo nchini

Umeme wa Rea miradi mipya ya maji next time nitakuja na detail za mradi umesainiwa lini na unakamilika lini

Wajasiriamali wamepunguziwa kodi za kero kwa kupewa vitamburisho vya ujasiriamali

Demokrasia ya aina gani unataka ya wanasiasa kufanya mikutano jangwani au Wamachinga kufanya biashara zao popote bila bugudha ya polisi Uhuru wa kufanya kazi au Uhuru wa kutukana Uhuru wa aina gani unataka kila bajeti zinarekebishwa sheria za kodi ili kuchochea sekta binafsi kuwekeza nchini

Mfano bajeti yetu ya 2019/20 kodi 54 zimefutwa kwa lengo la kuchochea sekta binafsi kuwekeza nchini na kuzalisha zaidi Mhe Rais wetu John pombe Magufuli kakutana na wafanyabiasha 5 kutoka kila wilaya lengo kusika kero zao na akachukua hatua palepale

Mnataka nini afanye mbona nia na utashi wake kwa Taifa letu upo wazi Rais wetu John pombe Magufuli kuiona Tanzania inasonga Mbele Kimaendeleo
MLETA MADA UNASEMA

HOJA: 1. Ujenzi wa barabara Nchi Nzima kwa gharama Sh. Trilioni 5.3 ili kurahisisha usafiri wa watu na mizigo ya biashara kutoka sehemu moja kwenda nyingine.....

JIBU: Acha kutamka tu, sema ni barabara zipi hizo zinazokusudiwa kujenga, Tunachojua ni Kwamba Barabara zilijengwa za kuunganisha Kila mkoa na almost kila wilaya wakati wa JK , Na huyu JPM ndiye aliyekuwa msiamazi mkuu wa ujenzi huu!. Siku nyingine badala ya KULETA FIGURE pekee ili kuibua hisia leta mifano halisi.

HOJA: 2. Ununuzi Ndege Mpya Sh. Trillioni 1.3 ili kuchochea sekta ya Utalii na Biashara ya ndani ya nchi yetu...

JIBU: Ni utafiti gani umeufanya kuwa Ununuzi wa ndegu Unaongeza utalii?, maana kudhani kuwa na ndege ndo kuinua utalii ni dhana potofu, kwa mfano takwimu ziko wapi kuonyesha kuwa ununzi wa ndege umechochea utalii?. Takwimu ziko wapi zinazoonyesha namna Ndege tulizonunua zimestimulate utalii?. Operation cost za kuendesha hizo ndege ukilinganisha pesa zinazoingiza ni kiasi gani?, lete takwimu ndugu, usiorodheshe vitu kama listi ya wachezaji wa pira oyesha impact ya kitu. Tunachojua ni kwamba biashara ya ndege ni baishara pasua kichwa, na Taarifa za PAC na ripoti za CAG zimeonyesha miongoni mwa mashirika yanayopata hasara mpaka sasa ni ATCL, hizo ndege zimetusaidia vipi?. Lakini pia hizo ndege zimenunuliwa bila pesa kuidhinishwa na bunge, ndege zimenunuliwa kwa utashi tu bila kufuata sheria, hatujui tumepigwa au la, inabidi kamati maalum ya bunge au CAG achunguze hili.

HOJA: 9.Ukarabati Viwanja vya Ndege Nchi Nzima Sh. Trilioni 1.8
JIBU: Ukarabati wa viwanja vya ndege nchi nzima ulifanywa kwa asilimia kubwa na serikali iliyopita ya JK, labda utuambie kuwa huyu anamaliziamalizia kazi na pia gharama kubwa hapo imetumika kwenye ujenzi wa Uwanja mpya wa Chato usio na faida yoyote ya maana kiuchumi kwa nchi

HOJA: 11. Miradi ya Usambazaji Umeme vijijini kupitia Rea Umeme unaendelea kuchomoza vijijini...
JIBU: Usitutanie kuhusu REA, Sema JPM anaendeleza REA, lakini REA ilikuwepo toka awamu iliyopita, watu wamekatwa kodi wakati wakinunua umeme wa LUKU kwa ajili ya REA kwa muda mrefu kabla JPM hajawa raisi, na kukuonyesha kuwa REA ipo toka awamu iliyopita mimi kwa mfano umeme wa REA ulifika kijijini kwetu toka mwaka 2013 wakati wa JK

HOJA: 13 Ununuzi wa vivuko vya Majini maeneo mbalimbali ili kurahisisha usafiri wa watu na mizigo ya biashara.....
JIBU: Hujaeleza kivuko gani?, Maana huyuhuyu JPM alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ujenzi alikuwa akisifu kila wakati kuwa JK kanunua vivuko vingi sana hapa nchini, Msidhani watanzania hatuna kumbukumbu vizuri na msitake kusafiria nyota za wenzenu , tengenezeni Legacy zenu lakini msiibe legacy za watu

HOJA : 14. Ujenzi wa madaraja mfano Mfugale, Ubungo interchange, Surrender bridge n.k
JIBU: Daraja La baharini la Surrender siyo necessity ya Mtanzania ni la show off zaidi kuliko haja na umuhimu wake, Daraja la Mfugale, pesa ilitafutwa na utawala uliopita na mikataba ilisainiwa na utawala uliopita. Hebu Linganisha Significance ya madaraja hayo na daraja kama la Mkapa lilojengwa na BWM, Malagarasi, Kilombero, Kigamboni yaliyojengwa na JK . Hayo ndiyo madaraja ya Legacy na kujivunia kwa mtu mwenye hadhi ya Raisi siyo daraja la Flyover ya Mfugale

HOJA: 15. Miradi ya Maji inayoendelea Kujengwa Maeneo Mbalimbali ya Nchi yetu ni mapinduzi kwenye sekta ya Maji.....
JIBU: Mkapa alileta maji kutoka ziwa Victoria mpaka Shinyanga, Kikwete akatutengenezea mradi mpya kutoka Ruvu chini kupitia bunju kuja mpaka Dar, Visima kibao vilijengwa nchi nzima!. Upo wapi mradi wa scale ya ule wa BWM au JK katika serikali hii?

Baada ya kukujibu hoja zako nikueleze sasa mambo ya msingi sana ambayo yanatugusa wananchi serikali hii haijafanya
1. Haiheshimu katiba iliyoapa kuilinda, kuna uonevu uliokithiri nchini kwa watu na taasisi mbalimbali kama vile wanasiasa wa upinzani, waandishi wa habari, vyama vya siasa etc

2. Wakulima wameendelea kutendewa visivyo haki, wakulima wa korosho walichukuliwa korosho zao kinguvu, zao la mbaazi limevurugwa, Zao la kahawa limeveurugwa

3. Wafanyakazi hawapewi stahiki zao kwa mujibu wa sheria za kazi, nyongeza ya kila mwaka iliyopo kwa mujibu wa sheria haipo

4. Wastaafu wanahangaika, wanapigwa danadana nenda rudi, wengine wanakaa miaka kibao bila mafao

5. Hali ya usalama wa wananchi iko matatani, watu wanatekwa, wengine wanapotea katika hali ya kutatanisha, watu wanaogopa hawajui fate yao itakuwa nini

6. Biashara zinaporomoka, Juzi hapa wafanyabiashara wamekiri jinsi TRA ilivyokuwa ikiwanyanyasa, biashara nyingi zimefungwa, maisha yamezidi kuwa magumu

7. Kilimo kiko arijojo, bajeti ya kilimo imezidi kupungua mwaka after mwaka, Pesa zinazopelekwa kwenye kilimo wakati mwingine haifiki hata asilimia 30 ya bajeti iliyotengwa, katika hali kama hii utainuaje hali za watanzania wakati zaidi ya asilimia 70 ya watu wetu wantegemea kilimo?

8. Ajira zimeendelea kuwa bomu linalosubiri kupasuka, mwaka wa 4 huu serikali inasuasua kwenye ajira, hata sekta binafsi ambayo ingebidi iisaide serikali kuajiri inasuffer, Sekta binafsi imekuwa paralysed, sasa katika hali kama hii Ujenzi wa uwanja wa ndege Chato au daraja la Surrender unawasaidia vipi vijana?. hata pesa ambazo inabidi zitengwe na Wakurugenzi kwa mujibu wa sheria hazitengwi, wewe mwenyewe unalifahamu hili vizuri

HITIMISHO:
Mleta mada umeleta habari za utendaji wa awamu hii lakini ambacho hujakisema ni kwamba miradi mingi inayofanyika kwenye awamu hii ni miradi iliyoanzishwa kutafutiwa fedha na serikali zilizopita, kwa hiyo awamu hii inamaliziamalizia na kuongezea hapa na pale palipopungua

Pili, Miradi mikubwa kama SGR inatoa pesa nje badala ya kuingiza pesa ndani, Chuma tunatoa nje, kabla ya kuanza ujenzi pale tungehakikisha tumewekeza Liganga na mchuchuma ili tutumie chuma chetu cha humuhumu nchini ili pesa nyingi zaidi ibaki ndani etc, Lakini pia miradi mingine siyo Miradi PRIMARY kwa uchumi ni miradi SECONDARY kiuchumi kwa mfano mradi wa uwanja wa ndege Chato au Daraja la kupitia "Baharini" la Surrender

Tatu miradi hii inafanyika wakati maisha na mahitaji ya watu hayaguswi ipasavyo, Mkulima kama vile wa korosho, kahawa,etc ameendelea kutopewa umuhimu wa maana, Ajira za wananchi ziko chini, Private sector imesuffer mno ndani ya miaka hii minne.

Hali ya Kidemokrasia na kuheshimu viapo vya uongozi kama vile NAAPA NITALINDA NA KUTETEA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ILIYOWEKWA KWA MUJIBU WA SHERIA, NA KWAMBA KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YANGU SITAPENDELEA WALA KUONEA MTU.....haviheshimiwi ipasavyo viapo hivi

NAWASILISHA

Ni mimi:
Missile of the Nation (Komboro hatari la Ulinzi wa Taifa)
 
Kama kuna maendeleo yote hayo ina maana kuna fursa zaidi. Je ni kipi kinawafanya Vijana wa ccm mjihusushe na ukatili wa wazi ili ccm itangazwe washindi na kushinda kwenye ushirikina mkisaka vyeo badala ya kujiajiri kwenye hiyo miradi? Halafu ww Fahmi na Heri James sio vijana maana wote mko 40+. Acheni utapeli wa kijinga.
Haaa Haaa Haaa tupo kwenye kilimo tumejiajili na Umri huo bado hatujafika usituzeeshe hivyo samahani
 
[emoji445] ccm ni ile ileeee[emoji448][emoji448][emoji397] oooh ni ile ile[emoji446][emoji441][emoji449][emoji345][emoji981][emoji981][emoji350][emoji351][emoji351][emoji442]. Imba sana maana ndiyo njia yako pekee inayokuletea mkate hapo nyumbani.
Ndio ileee ileee siku hizi tuna na Kwangwaru Magufuli Remix kwangwaruuuuu
 
Mikopo hiyo ipo kwa mujibu wa sheria na utaratibu wa utolewaji wake umewekwa kwenye sheria hivyo kama sheria hiyo ina mapungufu ndio ya kufanyia marekebisho
mkuu naona kuanzia mwanzo hadi mwisho ujenzi tu, ila nyongeza za mishahra na kuboresha hali za maisha za watu sioni hapo, maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu, unamsifia katoa mikopo lakini ipo kiubaguzi eti wa gove school tu ndio wapewe, si ubaguzi huo
 
Hilo lishafanyiwa kazi mwakani hamna kitu cha hivyo
Wakulima hatuna soko labuhakika la mazao yetu. Mbaazi ziliozea shambani msimu uliopita . Mustakabali wa korosho mpaka sasa ni kitendawili.

Hizi barabara si za kumkomboa mkulima kutoa mazao kijijini kupeleka tu makao makuu ya wilaya.
 
mkuu naona kuanzia mwanzo hadi mwisho ujenzi tu, ila nyongeza za mishahra na kuboresha hali za maisha za watu sioni hapo, maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu, unamsifia katoa mikopo lakini ipo kiubaguzi eti wa gove school tu ndio wapewe, si ubaguzi huo
Maendeleo ya vitu yana uhusiano na maendeleo ya watu kwa sababu watu hao ndio wahitaji wa vitu katika maisha yao ya kila siku
 
Back
Top Bottom