Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amebadilika kuelekea kupata ushindi wa kishindo

I am not one of the voters but I cant see Magufuli loosing this Election at any means.
 
Ila wamejitahidi wasiojulikana hawapotezi watu tena duuu watu waliishi kwa hofu sana kwa kuongoza wasiojulikana.Mahakamani walijaa wapinzani wake.

Ameona wala haisaidii ndio anawasha moto kwenye moyo ya watanzania akitwngeneza upinzani mpya kwa moyo yao.Sasa swami ya pili hatamsikiliza mtu he has nothing to gain to lose.

Mnaomsifu muwe makini,hatawaangalia tena kwani haitaji kura awamu yake ya pili
 
Baada ya kuona wafanya biashara wanamkimbia na kuhamia nchi nyingine ndio anapata akili saa hizi kumekucha?yani nchi kurudi kwenye biashara na viwamda kama alivyovikuta ni hadi atoke madarakani kabisa asiwadanganye mtu hakna mfanya biashara mjinga
 
hivi alipokwambia hakumtuma mtu ulimuelewa kweli?
 
Mkuu ngonjera yako isiyokuwa na vina wala mizani imeisha?
 
Magufuli ndo tegemeo la watanzania wote,wagombea wote wa upinzani ni wepesi sana.
 
Yeye maneno yote ameshamaliza kuongea katika miaka hii mitano aliyowaziba midomo wapinzani, sasa wenzake wakianza kufunguka yaliyojaa vifuani mwao hatakuwa na uwezo wa kuwajibu au kupangua hoja zao, atapata tabu sana.
 
Duh, SPANA au SPOKO? tatizo nyumbu hamjielewi, wale mnao waona ni mashabiki tuu, na siyo wapiga kura a.k.a, WAJUMBE. Msije mkawashawishi mashabiki/WAJUMBE mwezi oktoba waingie mtaani walete fujo, ili hali siyo wapiga kura na hawakumpigia huyo NYAKA-TUNDU wenu. Wapiga kula wametulia tulii, tunawaangalia mnavyo hangaika. Tukutane Oktoba bhana
 
Kwani tetemeko lililetwa na serikali.
Nilisema mkinichagua nitaondoa tetemeko??
 
Na mauaji ya hovyo hovyo ya raia yaliyofanyika kwa kipindi cha Miaka mitano yamekoma, lakini adhabu ya Uhalifu iko pale pale
 
Hujaeleweka
 

Hawezi kubadilika, toka akiwa mbunge/waziri hizi ndio zilikuwa tabia zake, ila hazikuonekana vizuri kwakuwa hakuwa rais. Lakini baada ya kuwa rais, tabia zake ndio zimekuwa wazi peupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…