Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amebadilika kuelekea kupata ushindi wa kishindo

Siasa inaonyesha Rais Magufuli, ameanza kuibali siasa, na ameanza kuwa very tolerant na yuko focused kwenya mahitaji ya kudumu ya Wananchi.

POLICAL MATURITY: Rais amezidi kuiva kisiasa, tumeona akiwa hana ushawishi katika Uchaguzi wa Ugombea Ubunge wa wale waliokuwa wakisemekana kuwa ni watu wake wa karibu...
Hilo tatizo la uchumi linaonekana wakati wa uchaguzi? 'some of us can not be brainwashed in that way'
 
Hujaeleweka
Tangu lini nyumbu akaelewa? anaona kiongozi anavuka mto anadakwa na mamba, bado na mfuasi naye anapita hapo hapo anadakwa pia. Sasa kinachofuata wote mtakwisha pasipo kujielewa. Wajuzi wa mambo huwa wanaunganisha nukta, wanapata majibu. Tafakari chukua hatua.
 
Bado hujaeleweka
 
Siasa inaonyesha Rais Magufuli, ameanza kuibali siasa, na ameanza kuwa very tolerant na yuko focused kwenya mahitaji ya kudumu ya Wananchi.

POLICAL MATURITY: Rais amezidi kuiva kisiasa, tumeona akiwa hana ushawishi katika Uchaguzi wa Ugombea Ubunge wa wale waliokuwa wakisemekana kuwa ni watu wake wa karibu...
Too late to catch the bus....alinifunifundisha Marehem Mama
 
Ngoja nibaki kuwa msomaji tu hapa, kuna magwiji wa siasa, uchumi, mipango, nk, nione nondo zinazomwagwa hapa
 
Back
Top Bottom